Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo alimpa lifti😅Nilikuwa eneo la tukio. Dereva hakumuacha bali alibadili namba ya gari to a normal one (T….DME) akaondoka naye kwa speed kali.
It is a game used to keep scores and lord it on others just to show who is boss.And the ruling class is greatly responsible for that.
Bumundq angebebwa kwenye gari la waziri yeye kama nani? Lile sio gari la mbunge wa viti maalumu jimbo la Mtama ni gari kwa ajili ya waziri wa habari.Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
Uovu kama huu aliwahi kufanyiwa pia Dr. Mwigulu Nchemba kipindi cha rais kichaa. Dr. Mwigulu Nchemba alishushwa njiani akiwa safarini kuelekea Mwanza.
Tusiibomoe nchi yetu kwa tabia zetu mbaya na chuki zetu binafsi. Uongozi ni hekima
View attachment 3052842
Dereva kaambiwa awe anambeba waziri sasa kama kashatenguliwa mnataka afanyaje.Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
Uovu kama huu aliwahi kufanyiwa pia Dr. Mwigulu Nchemba kipindi cha rais kichaa. Dr. Mwigulu Nchemba alishushwa njiani akiwa safarini kuelekea Mwanza.
Tusiibomoe nchi yetu kwa tabia zetu mbaya na chuki zetu binafsi. Uongozi ni hekima
View attachment 3052842
Hii ni kumkosea heshima mtu, na ndio maana watu wengine tulijiapiza hatuwezi kufanya kazi serikalini Tanzania.Tangu enzi za Mwalimu Nyerere, ukitenguliwa tu, dereva anatakiwa kuondoka mara moja na kwenda kureport kwa mwajiri wake kwaajili ya kupewa maelekezo.
Na inawezekana hata hakuachwa na hiyo gari kwani video inayotembea inaonekana gari ikiondoka lakini haionyeshi nani alikuwa ndani ya gari ukiacha dereva.Mitanzania kila kitu inalalamika hata yule mtu waliekua hawamtaki katumbuliwa ety wanalalamika kaachwa na gari .
Ni kweli kabisa inaweza ikajenga chuki kwa sababu uwaziri ni kazi ya ukoo, kwa kweli Nimekuelewa mleta mada na ukifuatilia vzr ile wizara kabisa ni ya ukoo wa akina Nape.Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
Uovu kama huu aliwahi kufanyiwa pia Dr. Mwigulu Nchemba kipindi cha rais kichaa. Dr. Mwigulu Nchemba alishushwa njiani akiwa safarini kuelekea Mwanza.
Tusiibomoe nchi yetu kwa tabia zetu mbaya na chuki zetu binafsi. Uongozi ni hekima
View attachment 3052842
Mleta mada mm sikulaumu ila nalaumu utamaduni unaojionesha kichwani mwako kulingana na maandishi yako haya uliyoyaandika,yawezekana ww ni Nape Nauye ukihitaji ufanyiwe ustaarabu ambao ww umekiri hadharani tena kwa watanzania wote kwamba huna,umejidhihirisha ww ni fisadi na mwizi hadharani na mwenye jeuri na kiburi na dharau kwa watanzania wote kwa kuutangazia umma wa Tanzania lkn polisi wanakuangalia tu,wao wanaweza kukamata wezi wa kuku tu,na polisi hawa hawa ambao wanalea uovu leo hii wanalia kila kukicha kwa kupewa pensheni za dharau eti Tshs 20,000,000/=kwa kulitumikia Taifa kwa miaka 30 na mbunge ambae polisi amampigania na kusimamia wizi wa kura anapata Tshs milioni 300,000,000/= pensheni kwa kukaa bungeni kwa miaka mitano(5) nani ni zwazwa hapo.Ipo siku tutaongea lugha moja.Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
Uovu kama huu aliwahi kufanyiwa pia Dr. Mwigulu Nchemba kipindi cha rais kichaa. Dr. Mwigulu Nchemba alishushwa njiani akiwa safarini kuelekea Mwanza.
Tusiibomoe nchi yetu kwa tabia zetu mbaya na chuki zetu binafsi. Uongozi ni hekima
View attachment 3052842
Dereva angekuwa na utu angembeba kama abiria siti ya nyuma yake kwani hadhi ya waziri ni siti ya mbele karibu na bendera. Huku nyuma hata mchepuko unakaa.Mlaumu aliyemtumbua.dereva hana kosa.
Ila Samia alimtegea kiutamu🤣🤣🤣
WaKwa iyo aliendelea na kugawa tuzo kama nani?
uenda alipigiwa simu kuwa ageuzeDereva angekuwa na utu angembeba kama abiria siti ya nyuma yake kwani hadhi ya waziri ni siti ya mbele karibu na bendera. Huku nyuma hata mchepuko unakaa.
"inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi"! Nani alikuambia kuwa sisi wote tunaipenda CCM, ila ujue tonge likikudondoka liache usiliokote.Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.