kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ila inategemea uhusiano wake na dereva, ashindwe kumwambia njoo nikupe lifti? Alikuwa anamuendesha basi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Na Jumatatu chelewq kuingia kazini, maana utakuta kiti chako kimekaliwa!
Jibu swali langu.Unadhani wote waliokuwa pale walikuwa na usafiri wao? Kuna bajaji, pikipiki, teksi au unaona hajabu yeye kupanda bodaboda.
Hakupanda Boda Kweli?Nilikuwa eneo la tukio. Dereva hakumuacha bali alibadili namba ya gari to a normal one (T….DME) akaondoka naye kwa speed kali.
Hapana kwakweli. Aliondoka naye. Nape alivyo na damu ya kunguni hiyo video yake okiwa kwenye boda ingekuwa habari ya mjini😅Hakupanda Boda Kweli?
Kwa iyo aliendelea na kugawa tuzo kama nani?Mlaumu aliyemtumbua.dereva hana kosa.
Ila Samia alimtegea kiutamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
Uovu kama huu aliwahi kufanyiwa pia Dr. Mwigulu Nchemba kipindi cha rais kichaa. Dr. Mwigulu Nchemba alishushwa njiani akiwa safarini kuelekea Mwanza.
Tusiibomoe nchi yetu kwa tabia zetu mbaya na chuki zetu binafsi. Uongozi ni hekima
View attachment 3052842
Huu ni Mtego kwa Upinza, wawe makiniKuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado hajatoa.
Hii si sawa. Hata kama alikuwa na mapungufu ktk uongozi wake ama kuna kosa kalifanya basi hakustahili kulipwa udhalilishaji huu. Huu siyo utamaduni wetu watanzania na hii si tu inamdhalilisha mhusika, bali inajenga chuki kwa ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Jimbo lake na watanzania kwa ujumla dhidi ya mamlaka ya uteuzi.
Kama mtu aliteuliwa kwa heshima, akapewa majukumu fulani, basi hata siku ya kumuondoa aondolewe bila kudhalilishwa.
Uovu kama huu aliwahi kufanyiwa pia Dr. Mwigulu Nchemba kipindi cha rais kichaa. Dr. Mwigulu Nchemba alishushwa njiani akiwa safarini kuelekea Mwanza.
Tusiibomoe nchi yetu kwa tabia zetu mbaya na chuki zetu binafsi. Uongozi ni hekima
View attachment 3052842
Inawezekena pia dereva aliwasiliana na Nape naye kuona isiwe noma akamwa.bia rudisha gari la watu mimi nitajitegemea kurudi nyumbani.Kulikuwa na option ya ku mrequestia Bolt, ungejitolea mkuu
Inafuatana na aliishi vipi na dereva wake.
Ukiona dereva kaamua 'ubaya ubwela' jua chini kunatokota.
Sahihi kabisaWadai katiba mpya tupate mifumo imara na siyo kuishi kwa hisani ya Rais
Angetenguliwa wapo katikatika Mikumi angemshusha? simpendi Nape lakini hoja yako ni ya hovyo
And the ruling class is greatly responsible for that.So many Tanzanians are sadists.
Amefukuzwa Kazi !!😳😱Waziri hachagui dreva,huyo dreva ana bosi wake na ndiye alimwamuru arudishe gari ofisini na huyo TO naye alipokea maagizo, kumbuka Nape amefukuzwa kazi,ile kutenguliwa ni polite language tu.
Utaratibu na Sheria Katika Hali kama hiyo ya kutumbuliwa ukiwa katikati ya majukumu ipoje kwenye suala usafiri?