Nape kutumbuliwa ni sawa, lkn kutelekezwa na dereva akiwa bado anatoa tuzo ukumbini siyo sawa

Angepelekwa eneo la karibu zaidi la makazi ya watu, ndipo atashushwa. Hata Chalamila alipotenguliwa ukuu wa mkoa, alidandia lift, akapanda kwenye noah, kurudi kwake.
Huwa wanabadili plate no ya gari pekee
 
Alichokifanya Dereva ni sahii , gari inakua na plate no ya waziri wa wizara husika , sasa kama waziri ametumbuliwa anapanda iyo gari kama nani? Ndo utaratibu
 
Alichokifanya Dereva ni sahii , gari inakua na plate no ya waziri wa wizara husika , sasa kama waziri ametumbuliwa anapanda iyo gari kama nani? Ndo utaratibu
Basi utaratibu huu uangaliwe upya, vinginevyo kuna siku waziri wa maliasili na utalii atakuja kuachwa katikati ya mbuga ya wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…