hagau
JF-Expert Member
- Dec 17, 2023
- 1,632
- 5,566
Alikuwa anafanya kazi kwa mood chanya, hii awamu sidhan kama inahutaj watendaji kaziJerry Slaa toka atoke Ardhi amepoa sana.
Hasikiki tena, Kulikoni??
Alikuwa anafanya kazi kwa mood chanya, hii awamu sidhan kama inahutaj watendaji kaziJerry Slaa toka atoke Ardhi amepoa sana.
Hasikiki tena, Kulikoni??
Hii awamu hutakiwi kuzungumziwa Sana kwa mazuri kuliko boss wako.Alikuwa anafanya kazi kwa mood chanya, hii awamu sidhan kama inahutaj watendaji kazi
Ndejembi nae kawa kimyaAlikuwa anafanya kazi kwa mood chanya, hii awamu sidhan kama inahutaj watendaji kazi
DuMpiga mwingi hawezi mtema Makamba. Hiyo ndo inner circle yake wanapiga wote deals za ndani na nje ya serikali.
HahaNa hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Like la napeMpaka kesho sijafafamu kwa nini jamaa walipeleka lile roboti eunice pale bungeni!
Wanatumia kodi zetu kwa matumizi ya hovyo sana.
Nitashangaa kama wahusika wataendelea kuvimba ofisini
HapanaWewe jamaa utakuwa mmojawapo wa waandamizi hapo nyumba nyeupe.
SalamaBritannica kada mtifuu salama mkuu
Wewe jamaa jau sana. Nimecheka kipuuziHuenda lile robot Eunice lilimaanisha mkuu wa kaya wa sasa maana nalo halikuwa na akili
HahaHuenda lile robot Eunice lilimaanisha mkuu wa kaya wa sasa maana nalo halikuwa na akili
😆Huenda lile robot Eunice lilimaanisha mkuu wa kaya wa sasa maana nalo halikuwa na akili