kochakindo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 773
- 526
mkuu ni kweli kabisa nape jana alikuwa kama punje ya mavi ya mbuzi ameshajuwa nini kinakwenda kuikumba ccm yeye mwenyewe ubunge atausikia tu na kuangalia kwenye tv!!
kwenye marketing wanasema kutajataja jina la competitor wako hata kama unampondea ni ushindi kwake, kwani unafanya wateja watake kumjua zaidi na kwa nini unampondea badala ya kutangaza bidhaa yako!
Naona umechanganyikiwa mkuu
hata kama tunachotaka muondoke pale magogoni si kwenu tena kuanzia tarehe 25/10
Na Lowasa kainunua ccm kwa jinsi wanavyoiama wanachama haijapata kutokea! Kufikia september mwishoni watakuwa wamebaki na nape na makonda tu.Wanampigia kampeni lowasa
lakin c kwel jamaa kauza chama na ndo maana akina slaa walisepa. Kubalini kwanza kuwa biashara imefanyika na watu wamepiga hela ndo twende kwenye hoja zingine.