Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
😆😆😆😆😅 Acha kunishambulia kwa lugha za dharau utafikiri Mimi nimesema natafuta U DC hapa,Hata hivyo Nakusamehe bure maana Mimi Ni mtu wa watu nayependa amani na watu woteHivyo ndio ukuu wa wilaya unavyopatikana nashangaa Lucas Mwashambwa anazungusha wo wo wo tu huku jf
Ukumbuke hata bwana yule 2015 alisaidiwa na napeNchi hii wanapeana tu kama peremende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo ndio ukuu wa wilaya unavyopatikana nashangaa Lucas Mwashambwa anazungusha wo wo wo tu huku jf
Tena wanachagua wenyewe sehemu za kuwekwaa.Lucas Mwashambwa anatakiwa aelewe kwamba kuna watu wanapigiwa simu na kuulizwa fulani unataka UDC!? na watu hawa wapo kwenye phonebook ya mheshimiwa jibu lake ndilo litakaloamua maamuzi ya mkuu
Ile mikeka inatokaga huku watu wakiwa wanajua kabisa position zao..
Uzuri Mimi naandika kwa hiyari na siyo kutafuta U DC na FadhiraLucas Mwashambwa anatakiwa aelewe kwamba kuna watu wanapigiwa simu na kuulizwa fulani unataka UDC!? na watu hawa wapo kwenye phonebook ya mheshimiwa jibu lake ndilo litakaloamua maamuzi ya mkuu
Ile mikeka inatokaga huku watu wakiwa wanajua kabisa position zao..
Hivi membe aliwai fanya kazi na baba yake nape?Membe ni political godfather wa Nape Nnauye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] Acha kunishambulia kwa lugha za dharau utafikiri Mimi nimesema natafuta U DC hapa,Hata hivyo Nakusamehe bure maana Mimi Ni mtu wa watu nayependa amani na watu wote