Kweli katiba mpya iweke wazi nafasi zote za kazi nchini ziombwe na waajiriwe watu kutokana na sifa zao. Mkapa aliweka ile tume alafu JK akaiondoa kwa kejeli kwamba nafasi za serikalini huwezi kuomba ila unachaguliwa au kuteuliwa nk mimi najua washikaji walikuwa wengi hivyo ilibidi ile tume ifutwe na mtendaji mkuu akastaafishwaTunasema kila siku humu U-DC ni kazi za fadhila tu hazina maana yoyote