Nape: Membe alinisaidia kwa Rais Kikwete nikapewa u-DC

Hata uwaziri sasa alionao ni konekshen
 
Ni kweli,na kuanzia wakati wa Kikwete ndio heshima ya ma-DC ilianza kuporomoka,nakumbuka David Kafulila(Tumbili) aliwahi kupata kesi mahakamani ya kumwambia DC mmoja kwenye jimbo lake kwamba "Ndio tatizo la raisi kuchagua DC mwenye hadhi sawa na changudoa"
 
Kumbe UONGOZI yanapeana
Ulikuwa hujui eeh! Mwenda zake alisema hawezi kumpa uongozi mtu ambaye hamfahamu vizuri, wenyewe waliokaribu na mteuaji wakiona nafasi iko wazi wanaanza kutuma vimemo.
 
Kama kuna aliyekuelewa ulichoandika basi naomba bani toka jf
 
Mbona ipo wazi kabisa kama ya mbuzi...Nape bila kubebwa bebwa ungekuta ni dereva bodaboda tu huko Lindi.
kuna watu wanauwezo mkubwa mara 100 zaidi yake lakini ni nobody tu hapa bongo!.
Kama ni ubodaboda Nape angeufanyia Bukumbi Mwanza
 
Naona Nape akikomba hapa msibani
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜… Acha kunishambulia kwa lugha za dharau utafikiri Mimi nimesema natafuta U DC hapa,Hata hivyo Nakusamehe bure maana Mimi Ni mtu wa watu nayependa amani na watu wote
Kaka mimi wewe ndo DC wangu
Tumshukuru mama samia kwa kufungua uhuru wa kujadili na kucomment kama hivi jf
 
Katiba Mpya! Katiba Mpya! Katiba Mpya!

Tukisema tunataka Katiba Mpya mtuelewe. Hatufanyi kwa hasira wala kukurupuka.

Tunaposema tunataka Katiba Mpya, ni kwa sababu tunajua na kuipenda nchi yetu bila unafiki na maslahi binafsi au ukada.

Tunatambua na kuamini ndio njia pekee na sahihi itakayotuwezesha kutatua sehemu kubwa ya matatizo yetu kama Taifa; pia kutuwezesha kujenga misingi mathubuti ya utawala bora, uwajibikaji n chaguzi huru.

Nape amewakumbusha tu jinsi uwanja ulivyo na jinsi mchezo unavyochezwa.

Nchi yetu vye kama ubunge, ukuu wa mkoa na wilaya, ukurugenzi, ubalozi.....hata uwaziri - ni kama APENDAVYO Rais.

Vetting na "hadaa" za namna hiyo ni upuuzi na uongo; hazinaga uhalisia wowote....kigezo ni apendavyo mkuu.

Wana kauli zao husema '...ikikupendeza mh..... au ikupendeze mh....."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…