Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Mbona twiter ana block kila anaye mkosoa?
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Hehehehe
Nape ni Msanii
 
Angekuwa ana ngozi ngumu, asingetumia fake ID.
Kwahiyo mnapomtukana na yeye kuyasoma hayo matusi kupitia ID fake automaticaly matusi yanakuwa hayamuhusu?
kwakuwa katumia ID fake??
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Tuwe makini ili iweje sasa

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Nape bhna mwanzo alivyo fukuzwa na jpm nilimuone huruma Sana [emoji38] bas bhna mungu si kaamua ugomvi jpm akaondoka wengi tukajuwa lzm arudi wizarani.jamaa alivyo rud alikuta gb 1 Ni buku hatujaa kaa sawa gb moja ikawa buku 3 hatujakaa sawa amekuwa msemaji wa makampuni hayo hayo ya simu yanayotunjonya vilivyo

Kwa kifupi sna mh waziri umeniudh Sanaa na mbya Zaid umesahau uliko toka
Ukiona mtu amekataliwa na JPM ujue huyo ni takataka
 
Back
Top Bottom