Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

Huyu sasa anatafuta kufukuzwa kwenye chama...

Hajui kuwa kupishana Sera na Mwenyekiti wake ni kosa la jinai??
Nadhani kinyume chake ni sahihi, mwenyekiti anapishana na sera za Chama!

Vv
 
Kwenye ripot ya mkaguzi mkuu wa mahesabu nchini imeandika hayo au ni ww na familia yako mmejipa kazi ya U-CAG
 
Tuoneshe kwenye ilani palipoandikwa KUZUIA BUNGE LIVE!!
 
Nimemsikiliza aiseeee, @Nape Nnauye ndio leo wa kulia? Ndio wakuiponda serikali yake? Iwe funzo Kwa akina Mwigulu na wengine. Ni suala la muda tu
 

Kinachomtesa Nape sio kupokonywa uwaziri, Kinachomtesa Nape ni ile dhambi ya kuzima Bunge live...Moyo unamsuta kila kukicha sasa anatafuta huruma za wananchi kujisafisha na huo uovu. Nape kama kuna dhambi ambayo watanzania hawatakusamehe ni hii ya kuzima Bunge live...Hata uongee kizuri vip bado utaonekana like a shit holeeee.
 
Kingunge (RIP) alishawah kusema huyu alistahili kuwa.......... hatukusikia, na huyu bwana mdogo ndio aliyetusababishia yote haya. Tuache wafu wakazikane, historia itawahukumu tu kama sio wao basi vizazi vyao. (Karma)
 
Kwani kuhamia Dom ipo kwenye ilani, Nape anazidi wehuka.
Hii la hiyo stigler ilikuwa planned since Nyerere era, likewise kuhamia Dom.
Bora lakini kaonyesha his real colors
KUHAMIA DODOMA IPO KATIKA kila ilani ya CCM toka enzi ya Mkapa so JPM hajakosea. Pia kuanzisha kitu kipya ambacho kinamaslahi kwa taifa sio kosa hata kama hakipo kwenye ilani so hapo pia JPM hajakosea. Ila kama tumetelekeza mradi wa gas then we are making a very big mistake
 
Mzee wa goli la mkono asidhani tumemsahau , kwanza nna uchungu wa goli la mkono , pili bunge live , hivyo sitamsahau milele mimi na wajukuu zangu na vitukuu na kila atakayezaliwa namhadithia kudadeki hala kila atachokiongea sitakaa nimwamini hata kidogo in short sitamwamini mnafiki tena milele
 
Kapumbavu kamekurupuka tena angesema Kuna ubaya gani na hiyo miradi. Ilani si msahafu bana.
Kabisa mkuu ilani sio msahafu.

Kupenda kusikika na kuonekana mjuaji sometime unaongea pumba. Nape wengine hatuitaji ilani imesemaje tunachojari na kuhitaji ni maendeleo.
 
Ilani ipo kichwani mwa mtu asiyejaribiwa. Anavyoamka siku hiyo ndiyo ilani.
 
Tumechoka na zilipendwa hizo! Nyimbo zilizochuja unatuwekea hapa? Nenda nawe ukaliwe upewe viti maalumu!
Mtu mwenyewe anaitwa redio, unatarajia nini. Kachanganyiwa. Frequency yake haieleweki, station inalia shaaaaa, haikamati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi ata stiegler gorge ilikuwepo tokea enzi za Nyerere pia mkuu.

Nape kaonesha dhahiri ana chuki dhidi ya Mheshimiwa tokea afutwe Uwaziri.
 
Kama katoa comments hii Nape hafai
Yaani 2100MW anaona ndogo na anashindwa kuelewa ni kwanini waliandika ilani ya Tanzania ya viwanda ?

NDIO , haikuwemo kwenye ilani ila ilani za nyuma na kuwa kipaumbele cha Taifa since 1970s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…