radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Mshika mawili moja humponyoka saiv gesi hatusikii tena nchi ina viongoz wa ajabu sanakama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshika mawili moja humponyoka saiv gesi hatusikii tena nchi ina viongoz wa ajabu sanakama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
Nadhani kinyume chake ni sahihi, mwenyekiti anapishana na sera za Chama!Huyu sasa anatafuta kufukuzwa kwenye chama...
Hajui kuwa kupishana Sera na Mwenyekiti wake ni kosa la jinai??
Kwenye ripot ya mkaguzi mkuu wa mahesabu nchini imeandika hayo au ni ww na familia yako mmejipa kazi ya U-CAGDikteta ni yule ambae amebadili katiba ya Chadema na kufanya nafasi ya mwenyekiti wa chama haina ukomo wa uongozi. Dikteta niyule ambae pesa za ruzuku za chadema anajilipa madeni ambayo hayaeleweki na hayana mwisho.Dikteta ni yule nafasi za Viti maalumu anazigawa kwa rushwa ya ngono.
Tuoneshe kwenye ilani palipoandikwa KUZUIA BUNGE LIVE!![HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
True!kama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
KUHAMIA DODOMA IPO KATIKA kila ilani ya CCM toka enzi ya Mkapa so JPM hajakosea. Pia kuanzisha kitu kipya ambacho kinamaslahi kwa taifa sio kosa hata kama hakipo kwenye ilani so hapo pia JPM hajakosea. Ila kama tumetelekeza mradi wa gas then we are making a very big mistakeKwani kuhamia Dom ipo kwenye ilani, Nape anazidi wehuka.
Hii la hiyo stigler ilikuwa planned since Nyerere era, likewise kuhamia Dom.
Bora lakini kaonyesha his real colors
Kabisa mkuu ilani sio msahafu.Kapumbavu kamekurupuka tena angesema Kuna ubaya gani na hiyo miradi. Ilani si msahafu bana.
Mfuata njia mbili hupasuka msamba.Mshika mawili moja humponyoka saiv gesi hatusikii tena nchi ina viongoz wa ajabu sana
Mtu mwenyewe anaitwa redio, unatarajia nini. Kachanganyiwa. Frequency yake haieleweki, station inalia shaaaaa, haikamati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumechoka na zilipendwa hizo! Nyimbo zilizochuja unatuwekea hapa? Nenda nawe ukaliwe upewe viti maalumu!
Basi ata stiegler gorge ilikuwepo tokea enzi za Nyerere pia mkuu.KUHAMIA DODOMA IPO KATIKA kila ilani ya CCM toka enzi ya Mkapa so JPM hajakosea. Pia kuanzisha kitu kipya ambacho kinamaslahi kwa taifa sio kosa hata kama hakipo kwenye ilani so hapo pia JPM hajakosea. Ila kama tumetelekeza mradi wa gas then we are making a very big mistake
Sio yeye mnamuonea bure, huyu alikuwa anaamurishwa tu na alivyofanya kivyake akatupwa pembeni.Huyu anawashwa sasa naamuru bunge lizimwe tusimsikie akitoa unafiki wake.
Kama katoa comments hii Nape hafai[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.