thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Asante mkuu,Ni aibu na fedheha kwake Nape, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM na pia Rais kusahau Mipango ya Maendeleo kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Chama chake na Mikakati mbalimbali ya Kitaifa.
Kuhusu nishati, si kweli uzalishaji wa nishati ya gesi haujapewa kipaumbele, wakati mradi wa Kinyerezi ni kielelezo tosha.
Pia siyo kweli 'Stiglers Hydropower Project', ni nje ya Ilani ya CCM kuhusu nishati. Asome Kifungu cha 43(a) cha Ilani ya Uchaguzi kwa pamoja na Mkakati wa Nishati wa Wizara ya Nishati (Power System Master Plan (PSMP 2016–2040)).
Video hii hapa kuna mengi sana ya umuhimu kayaongea ila hapa ujayaandika ndiyo mana nimemua kuambatanisha na hii video naona nape akili sasa imemkaa sawa[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Kashaona kule kwenye Gas hana chake(10℅) kwa hiyo kahamishia nguvu huko kwingine ili alambe 10℅ yake yeye na Maliyamungu Bashite.Mkurupukaji hukurupuka kila uchao na kuliingiza Taifa kwenye hasara kubwa sana ya mabilioni ya pesa za walipa kodi.
Hivi na huwa unalipa kodi au unazungumzia kodi za watanzania wengine!?Mkurupukaji hukurupuka kila uchao na kuliingiza Taifa kwenye hasara kubwa sana ya mabilioni ya pesa za walipa kodi.
kama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
Sijamwelewa huyu jamaa. Kwa hiyo vyote visivyokuwepo kwenye Ilan ya CCM hata kama ni vizuri kwa ukuaji wa uchumi na vinaweza kutendeka tusifanye?[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Hivi na huwa unalipa kodi au unazungumzia kodi za watanzania wengine!?
Mtu akiongea ukweli unaowachoma mnamtukana ila unaoichoma JPM unaushangiliaTumechoka na zilipendwa hizo! Nyimbo zilizochuja unatuwekea hapa? Nenda nawe ukaliwe upewe viti maalumu!
Katika maisha yangu yote niliyoishi dunia sikuwahi fikiria kama ukiwa ccm unakua na akili. Kumbe wanafanya makusudi. Nape kashikwa pa bay a[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Kipele kikizidi kuwasha hata kama kiko sehemu mbaya huna budi kukikunaHuyu anawashwa sasa naamuru bunge lizimwe tusimsikie akitoa unafiki wake.
Soma tena ulichoandika.. .kama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
Labda Kuna kitu kaona kwani hata mradi wa magomeni quaters tumetumbukiza hela nyingi Ila naona kama pamedodaKapumbavu kamekurupuka tena angesema Kuna ubaya gani na hiyo miradi. Ilani si msahafu bana.
Ogopa sana kiongozi anayekurupa usingizi na kila alichokiota anakifanya sheriaMkurupukaji hukurupuka kila uchao na kuliingiza Taifa kwenye hasara kubwa sana ya mabilioni ya pesa za walipa kodi.