Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

Ni aibu na fedheha kwake Nape, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM na pia Rais kusahau Mipango ya Maendeleo kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Chama chake na Mikakati mbalimbali ya Kitaifa.

Kuhusu nishati, si kweli uzalishaji wa nishati ya gesi haujapewa kipaumbele, wakati mradi wa Kinyerezi ni kielelezo tosha.

Pia siyo kweli 'Stiglers Hydropower Project', ni nje ya Ilani ya CCM kuhusu nishati. Asome Kifungu cha 43(a) cha Ilani ya Uchaguzi kwa pamoja na Mkakati wa Nishati wa Wizara ya Nishati (Power System Master Plan (PSMP 2016–2040)).
Asante mkuu,
 
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Video hii hapa kuna mengi sana ya umuhimu kayaongea ila hapa ujayaandika ndiyo mana nimemua kuambatanisha na hii video naona nape akili sasa imemkaa sawa
 
Mkurupukaji hukurupuka kila uchao na kuliingiza Taifa kwenye hasara kubwa sana ya mabilioni ya pesa za walipa kodi.
Kashaona kule kwenye Gas hana chake(10℅) kwa hiyo kahamishia nguvu huko kwingine ili alambe 10℅ yake yeye na Maliyamungu Bashite.
 
Hii inaleta ukakasi. Mara kadhaa tumesikia mashabiki na wafuasi wa chama cha mapinduzi wakisifu kwa ngonjera na vigelegele kwamba magufuli anatekeleza ilani ya ccm kwa asilimia zote.

Leo anakuja mbunge wa ccm anahoji ujenzi wa hiyo power plant.
Sasa hawa watu tuwaelewaje ?
 
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Sijamwelewa huyu jamaa. Kwa hiyo vyote visivyokuwepo kwenye Ilan ya CCM hata kama ni vizuri kwa ukuaji wa uchumi na vinaweza kutendeka tusifanye?

Nadhan huyu jamaa anachemka sasa. Yeye anaongelea gas na maendeleo ya kusini, sawa kabisa. Vingine anachemka
 
huyu jamaa siku hizi kawa mfalme suleiman wa kwny biblia busara zimekuwa sio Busara tena bali mawe kwa mkuu
 
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Katika maisha yangu yote niliyoishi dunia sikuwahi fikiria kama ukiwa ccm unakua na akili. Kumbe wanafanya makusudi. Nape kashikwa pa bay a
 
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.

Sasa hii ni hoja ya namna gani?

Hivi kama kitu hakiko kwenye ilani na ni kizuri ina maana kisiffanywe? kwani hoja ya Katiba Mpya ilipoletwa na Kikwete 2011 ilikuwa kwenye Ilani ya chama gani?

Ila hili la Stielger's Gorge kwani limekuja na Magufuli; inabidi arudi nyuma hadi mwishoni mwa Vita ya Kagera na kuona kuwa uamuzi wa Stielger's Gorge ulifanywa na Baba wa Taifa miaka mingi nyuma na feasibility yake ilishakubaliwa, nikikunmbuka sawasawa na IA ilishafanywa..

Ila ILani ya CCM 2015 inahili la kusema... (ukisoma zaidi ya mistari Stielger's Gorge inadokezwa)..

Kifungu 43:a
 
kama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
Soma tena ulichoandika.. .
Umeme wa maji na mabadiliko haya ya tabia nchi Ni mawazo ya Abunu Wasi. Tumelishwa matumaini ya kumaliza tatizo la umeme kwa kutumia gas sasa tunarudishwa mtera ...
 
Kapumbavu kamekurupuka tena angesema Kuna ubaya gani na hiyo miradi. Ilani si msahafu bana.
Labda Kuna kitu kaona kwani hata mradi wa magomeni quaters tumetumbukiza hela nyingi Ila naona kama pamedoda
 
Hakuna cha mradi wala Nn nchi hii kamwe haiwezi kupiga hatua chini ya huu utawala wa kijani

Ova
 
Mkurupukaji hukurupuka kila uchao na kuliingiza Taifa kwenye hasara kubwa sana ya mabilioni ya pesa za walipa kodi.
Ogopa sana kiongozi anayekurupa usingizi na kila alichokiota anakifanya sheria
 
Back
Top Bottom