Kweli kabisa mkuu ila Nape kabeza kama vile stiegler gorge hauna maana.Stiegler gorge hata kipindi cha JK iliongelewa sema haikuanza kutekelezwa tu, nadhani Nnape angeuliza tu kama suala la gas limeachwa au vipi? Maana kama tumeachana na mradi wa gas kweli basi tunafanya makosa makubwa sana. Ni bora tungemaliza mradi wa gas kwanza then tuanze na stieglers gorge. Tunahitaji umeme wa kutosha hasa if we real want an industrialised Tanzania.
Ilani ya CCM ni msaafu au biblia mkuu?Mhe. Nape labda ana hoja. Ni kweli wawekezaji wanaikimbia Mikoa ya kusini. Juzi nimeshuhudia kupitia luninga kuwa kwa sasa mahoteli ya Mtwara yanajaza kwa asilimia 15% mpaka 20% kinyume na hapo mwanzo. Pili hoja ya Stieglers Gorge nayo ina mashiko. Nadhani CCM ina ilani na kama mradi huo haupo kwenye ilani ana sababu zote za kuhoji.
Kwahiyo nyerere alipokuwa mwenyekiti wa ccm kwa miaka 24 alikuwa dikiteta ?Dikteta ni yule ambae amebadili katiba ya Chadema na kufanya nafasi ya mwenyekiti wa chama haina ukomo wa uongozi. Dikteta niyule ambae pesa za ruzuku za chadema anajilipa madeni ambayo hayaeleweki na hayana mwisho.Dikteta ni yule nafasi za Viti maalumu anazigawa kwa rushwa ya ngono.
Iwe funzo kwa akina Mwigulu au iwe funzo kwetu unafiki wa wanasiasa?Nimemsikiliza aiseeee, @Nape Nnauye ndio leo wa kulia? Ndio wakuiponda serikali yake? Iwe funzo Kwa akina Mwigulu na wengine. Ni suala la muda tu
Ingekuwa CDM angepoteza hadi ubunge kama yaliyomkutaga Zito.Huyu sasa anatafuta kufukuzwa kwenye chama...
Hajui kuwa kupishana Sera na Mwenyekiti wake ni kosa la jinai??
And days our go!safi. goli la mkono linakutokea puani.
my friend, what goes around............
Kwahiyo nyerere alipokuwa mwenyekiti wa ccm kwa miaka 24 alikuwa dikiteta ?
Mh,basi jamani msiende ndani sana...Hasira za kutimuliwa uwaziri !
Utawezaje kuwa na sera ya viwanda bila umeme wa uhakika?
Nape, binadamu tumeumbwa kukubali mabadiliko, hatuwezi Kuchelewesha maendeleo kisa ilani!
Wewe na JK wakati wenu mlikuwa mnatekeleza ilani ipi ?
Au na dili ilikuwa ilani
Sawa kabisa, si haya aliyoeleza yalishaisha toka kitambo! Katiba ilishabadilishwa sasa mwisho wa uongozi wa chama unajulikana, si ndiyo?Tumechoka na zilipendwa hizo! Nyimbo zilizochuja unatuwekea hapa? Nenda nawe ukaliwe upewe viti maalumu!
Nionavyo mm hata bunge halina kazi awamu hii, mambo yanakwenda hata bila bunge.Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
I get it, ni vzr kwa uongozi wowote kukubali critics, lakini this guy hajawahi kuwa na critical thinker. In fact, sijui kama ana huwezi huo wa kufikiri. Anatafuta popularity kupitia matamko ya kwenye majukwaa. And to some point anadhani yeye na CCM are synonyms. Policies za maendeleo lazima ziwe dynamic. Frankly, this guy hana chembe ya positive criticism. He is more driven na chuki, kuliko maslahi ya nchi.Nadhani sio yote aliyoongea ni ya hovyo, tuchukue yale mazuri tuyafanyie kazi na yale ya hovyo tuyaache. Kwanza ni vyema tukajua je ni kweli issue ya gas imewekwa pembeni? If not then ajibiwe tu. Je issue ya mbaazi na korosho ni kweli? If not ajibiwe tu. Ila kusema stieglers gorge haikuwepo kwenye ilani so isitekelezwe hapo ni kupitoka, rais akitekeleza ya kwenye ilani na akaenda extra mile inapendeza so long as ni kwa maswali mapana ya nchi. Na pia kama kuna miradi ambayo ni white elephant projects akaamua kuiacha hata kama ipo ndani ya ilani sio kosa kabisa, kosa ni pale kama ataacha miradi yenye tija na maslahi mapana kwa taifa na kutekeleza miradi isitokuwepo kwenye ilani na haina tija wala maslahi mapana kwa taifa.