Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hakuna kosa la jinai mkuu.Huyu sasa anatafuta kufukuzwa kwenye chama...
Hajui kuwa kupishana Sera na Mwenyekiti wake ni kosa la jinai??
Ni aibu na fedheha kwake Nape, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM na pia Rais kusahau Mipango ya Maendeleo kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Chama chake na Mikakati mbalimbali ya Kitaifa.[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Issue ni kupaendeleza kusini ambapo Nnape anatokea.Nafikiri ndio msingi wa hoja yake.Anawawakilisha watu wake.kama vyote vitasaidia kupunguza tatizo la umeme sioni tatizo.
Kwakweli Nape kwenye hili ameonesha anayo chuki kubwa maana ni juzi tuu Mh kazindua mradi wa kuongeza megawati kwenye grid ya taifa kupitia nishati ya gas sasa sijui Nape hakuwepo nchini au asikilizi habari? Sijui anafikiri Tanzania ya viwanda maana yake nini?Basi ata stiegler gorge ilikuwepo tokea enzi za Nyerere pia mkuu.
Nape kaonesha dhahiri ana chuki dhidi ya Mheshimiwa tokea afutwe Uwaziri.
Nape kweli amechanganyikiwa kabisa hivi ni lini na ni wapi serikali imetelekeza miradi ya gas? Si ni juzi tuu Mh Rais kazindua mradi wa kuongeza megawati kupitia nishati ya gas?
Hivi kweli Nape yuko timamu? Hivi kweli hajui mipango na hatua za utekelezaji wa miradi ya gas? Hii ni aibu kubwa sana tena sana......
Hivi kweli amesema akimaanisha au ametania? Hahahaha Hivi anavyo sikia tanzania ya viwanda anafikiri nini? Hahaha aisee Nape ana shida ya kisaikolojia...
Kabisa mkuu.Kwakweli Nape kwenye hili ameonesha anayo chuki kubwa maana ni juzi tuu Mh kazindua mradi wa kuongeza megawati kwenye grid ya taifa kupitia nishati ya gas sasa sijui Nape hakuwepo nchini au asikilizi habari? Sijui anafikiri Tanzania ya viwanda maana yake nini?
Mbona hata hiyo yenu mmeibadili bac sawaDikteta ni yule ambae amebadili katiba ya Chadema
Chadema sio serikali wala hakikuhusu ila serikali inatuhusu wote hata mrema na cheyo ni wenyeviti wakudumu hatuwasemi maana vyama ni vyao walianzisha wenyewe hapa tunaongelea serikali yetu woteDikteta ni yule ambae amebadili katiba ya Chadema na kufanya nafasi ya mwenyekiti wa chama haina ukomo wa uongozi. Dikteta niyule ambae pesa za ruzuku za chadema anajilipa madeni ambayo hayaeleweki na hayana mwisho.Dikteta ni yule nafasi za Viti maalumu anazigawa kwa rushwa ya ngono.
Alichohoji ni miongoni mwa hayo mengine kama 10bn za kujengea polisi, ukuta nk..Kwa hiyo Nape anamaanisha 100Mil za Mzee Ngoma, Hela ya kununulia Bombadier, Hostel za UD, na mengineyo yalikuwepo kwenye ilani ya CCM??
Ikulu ni ya wapiga deal nowadays[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.