Unaelewa maana ya uchunguzi lakini?
Kukagua siyo kuchunguza
Ni kama Wewe unapoingia Kilabuni hapo Rau madukani kuonja onja Mbege Ndio ukaguzi ila Uchunguzi lazima aje mkemia!
Kila ninapoangalia picha ya Nape akikatiza viwanja vya Ikulu kwenda kuomuomba msamaha Magufuli anayetupiwa madongo, najiuliza mara nyingi tu, Nape waziri mnafiki hivi anaaminiwaje kupewa Wizara asimamie?hivi kilichompeleka Ikulu kuomba msamaha ni nini?
Shetani kila akisimama alimsema mtangulizi wake ns walikua pamoja sasa kwann asisemwe yeye.kwendraaaaa hukoooBaba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.
Hovyoooooo......!!!!!!
We ungeshauri tumseme wakati gani yule firauni,muuaji na dikteta marehemu?Sio poa kusema waliokwisha tangulia.mimi nikiwa kama adden sijapendezwa/furaishwa na tabia za watu kama nape.
Nape naye ni mpumbavu tu japo naunga mkono kumsema nduli magufuli.Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.
Hovyoooooo......!!!!!!
Kwendraaaaa huko marehemu akafie kwema huko alikooNape kama unapita JF jijue umejichimbia kaburi la kisiasa, kosa lako kubwa ni kujikita kumdhihaki Dkt Magufuli ambaye hayupo ila anaonekana kukushinda na mfano sakata la cloud inasemekana uliogopa wauza madawa ambao walikununua kwa mil ndogo tu thwmanini, sasa nani mzalendo ni yule aliyepinga madawa na hao watu wako cloud walihusika mpaka ngwea akafa akiwa anafanya hiyo kitu au wewe uliyelamba na ukaohppa kufa maana kutumbuliwa ilikuwa rhisi sana na ulijua utaomba msamaha ila wauza nganda wanaua, so don’t full around watu wanajua wewe unamapungufu makubwa sana ila ungekuwa na hekima basi ungemshukuru Dkt Magufuli kwa kukusamehe
Usikute wewe ndio Nape mwenyewe. Na kama ndio wewe basi tambua kuwa huna credibility ya kuwa kiongozi na hufai kuwa kiongozi. Na kama sio wewe ila ni chawa wake basi mfikishie huu ujumbe.Basi Nape alienda kukagua uharibu uliofanywa Clouds, kitulize.
Hata wewe utakuwa firauni marehemu in no less than 20 years.We ungeshauri tumseme wakati gani yule firauni,muuaji na dikteta marehemu?
😄😄😄 Uandikage hata kichagga tu tutakuelewa!Basi Nape alienda kukagua uharibu uliofanywa Clouds, kitulize.
Sawa na mniseme tuHata wewe utakuwa firauni marehemu in no less than 20 years.
Mwendazaķe aliwahi kusema usije na mavi yako mjini.Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.
Hovyoooooo......!!!!!!
Halafu lilivyo Juha linaacha Kutupigania katika hili lenyewe Kutwa tu Kumsimanga Hayati Magufuli na Kumfumbia Mafumbo kama Watoto wa Kike.Nape ni mpiga dili kama wengine. Imagine unanua GB 1.5 baada ya saa inakuja msg ya 75% usage. Ukicheki matumiz ya kawaida tu.
Idiot.Jiwe=satan
Umepona Ugonjwa wako wa Kichaa?Shetani kila akisimama alimsema mtangulizi wake ns walikua pamoja sasa kwann asisemwe yeye.kwendraaaaa hukooo
Umepona Ugonjwa wako wa Kichaa?Kwendraaaaa huko marehemu akafie kwema huko alikoo
Miguu