Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Basi Nape alienda kukagua uharibu uliofanywa Clouds, kitulize.
Unaelewa maana ya uchunguzi lakini?
Kukagua siyo kuchunguza
Ni kama Wewe unapoingia Kilabuni hapo Rau madukani kuonja onja Mbege Ndio ukaguzi ila Uchunguzi lazima aje mkemia!