Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

Basi Nape alienda kukagua uharibu uliofanywa Clouds, kitulize.
Unaelewa maana ya uchunguzi lakini?

Kukagua siyo kuchunguza

Ni kama Wewe unapoingia Kilabuni hapo Rau madukani kuonja onja Mbege Ndio ukaguzi ila Uchunguzi lazima aje mkemia!
 
Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)

In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.

Hovyoooooo......!!!!!!
Shetani kila akisimama alimsema mtangulizi wake ns walikua pamoja sasa kwann asisemwe yeye.kwendraaaaa hukooo
 
Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)

In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.

Hovyoooooo......!!!!!!
Nape naye ni mpumbavu tu japo naunga mkono kumsema nduli magufuli.
 
Nape kama unapita JF jijue umejichimbia kaburi la kisiasa, kosa lako kubwa ni kujikita kumdhihaki Dkt Magufuli ambaye hayupo ila anaonekana kukushinda na mfano sakata la cloud inasemekana uliogopa wauza madawa ambao walikununua kwa mil ndogo tu thwmanini, sasa nani mzalendo ni yule aliyepinga madawa na hao watu wako cloud walihusika mpaka ngwea akafa akiwa anafanya hiyo kitu au wewe uliyelamba na ukaohppa kufa maana kutumbuliwa ilikuwa rhisi sana na ulijua utaomba msamaha ila wauza nganda wanaua, so don’t full around watu wanajua wewe unamapungufu makubwa sana ila ungekuwa na hekima basi ungemshukuru Dkt Magufuli kwa kukusamehe
Kwendraaaaa huko marehemu akafie kwema huko alikoo
 
Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)

In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.

Hovyoooooo......!!!!!!
Mwendazaķe aliwahi kusema usije na mavi yako mjini.
 
Nape ni mpiga dili kama wengine. Imagine unanua GB 1.5 baada ya saa inakuja msg ya 75% usage. Ukicheki matumiz ya kawaida tu.
Halafu lilivyo Juha linaacha Kutupigania katika hili lenyewe Kutwa tu Kumsimanga Hayati Magufuli na Kumfumbia Mafumbo kama Watoto wa Kike.
 
Nape ukipitia Uzi huu, ujijue wewe ni kopo tupu na mwanasiasa uliyepoa kama alivyokuwa Lazaro Nyalandu, huna Lolote uliyofanya kwenye hiyo nafasi Kila siku makampuni ya simu wanajipandishia bei za bando wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom