Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

Haya mambo bhana basi tu., mfano tu yeye kungekuwepo na Mwamba anamsemasema saana Mzee wake Nauye angejisikiaje.
 
Jamaa huwa ana hasiri sana hata akikabwa na mfupa atasingizia jpm
 
Nape anajiona CCM kama nyumba ya urithi
 
Nape anaongea ukweli kadri anavoujua.
Lakini kiukweli jamaa hapendezwi na kushuka kwa bei za bando!
WaMarekani wenyewe wanashangaa, mbona mabando ghali bila sababu za msingi?
 
Nape ukipitia Uzi huu, ujijue wewe ni kopo tupu na mwanasiasa uliyepoa kama alivyokuwa Lazaro Nyalandu, huna Lolote uliyofanya kwenye hiyo nafasi Kila siku makampuni ya simu wanajipandishia bei za bando wanavyotaka.
Una matatizo fulani.
 
Na wewe huu mda mwingi unaoutumia kumtetea dictator kwa Swala lililowazi kazi kwamba nape kidogo apigwe bastola ungeutumia kutafuta pesa ili uishi vizuri tofauti na Sasa unaugulia ingekuwa vizuri sana
 
Hii katika Ndondi inaitwa Nipige Nikupige.
 
Kweli bro umekasirika, hadi umeandika bila kuweka koma wala nukta.😂😂
 
Tozo mbalimbali za mitandao inaumiza sana Watanzania, viongozi wangeliangalia hilo kwa jicho la umakini.
 
Haya mambo bhana basi tu., mfano tu yeye kungekuwepo na Mwamba anamsemasema saana Mzee wake Nauye angejisikiaje.
Mkuye mumeseme hadi akufe tena huko aliko.
Mkuye msemeeeee mkuyeeeee mkuyeeeee, arooooo yule kichaa jiwe shetani mkuu, kafiri na muuaji mkuye tummsemeeee
 
Upo sahihi katika hili, sio huyo tu mawaziri wengi wa awamu hii hawana wanachokifanya marks 0.5%
 
Na wewe huu mda mwingi unaoutumia kumtetea dictator kwa Swala lililowazi kazi kwamba nape kidogo apigwe bastola ungeutumia kutafuta pesa ili uishi vizuri tofauti na Sasa unaugulia ingekuwa vizuri sana
Mwambrieeeee huyu mwendawazimu mwenzie na marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…