Nape kama unapita JF jijue umejichimbia kaburi la kisiasa, kosa lako kubwa ni kujikita kumdhihaki Dkt Magufuli ambaye hayupo ila anaonekana kukushinda na mfano sakata la cloud inasemekana uliogopa wauza madawa ambao walikununua kwa mil ndogo tu thwmanini, sasa nani mzalendo ni yule aliyepinga madawa na hao watu wako cloud walihusika mpaka ngwea akafa akiwa anafanya hiyo kitu au wewe uliyelamba na ukaohppa kufa maana kutumbuliwa ilikuwa rhisi sana na ulijua utaomba msamaha ila wauza nganda wanaua, so don’t full around watu wanajua wewe unamapungufu makubwa sana ila ungekuwa na hekima basi ungemshukuru Dkt Magufuli kwa kukusamehe