Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

Napi kwenye lile tundu lake analotolea haja kubwa lazima kutakua na wadudu wananyevuanyevua, sio bure
 
Kichaa wewe usopungua huku jf, yaelekea huna kazi ya kufanya ni matonya flan au mzee wa marinda
Wewe mwenye Kazi ( Ajira ) mbona bado ni Masikini tu? Kuwa Kwangu 24/7 hapa JamiiForums Wewe na huo Upumbavu wako Kunakuathiri nini? Nakula Kwako? Vocha za Bando unanipa Wewe? Mbunye huwa unanipa yako? Nyabenga huwa unanipa hilo lako?
 
Wewe mwenye Kazi ( Ajira ) mbona bado ni Masikini tu? Kuwa Kwangu 24/7 hapa JamiiForums Wewe na huo Upumbavu wako Kunakuathiri nini? Nakula Kwako? Vocha za Bando unanipa Wewe? Mbunye huwa unanipa yako? Nyabenga huwa unanipa hilo lako?
Mkuu hapo unajibishana na Nape mwenyewe, au la basha wa Nape. Usitumie nguvu sana.
 
Ujumbe wa nani, Genta,funguka,sasa hakuna fungia ya miezi mitatu,au ile faini ya milion25😂
 
KWA KWELI MHESHIMIWA ANABOA SANA AACHE KUMSEMASEMA MAREHEMU. BINAFSI SIPENDEZEWI RIP MAGUFULI
 
Sema Tatizo Kubwa Ni Unafki Mkuu Ndio Unawasumbua Sana Viongozi Wetuu
 
Mkuye mumeseme hadi akufe tena huko aliko.
Mkuye msemeeeee mkuyeeeee mkuyeeeee, arooooo yule kichaa jiwe shetani mkuu, kafiri na muuaji mkuye tummsemeeee
Ila wewe si ulikuwa kichaa na nilisikia ulipata nafuu ugonjwa umelud tena au
 
Kuna mawaziri wawili lazima waione jela kabla ya kifo chao ni Nape na Makamba. Kesi za ufisadi hazitawapita.
HAKIKA. either hivyo au wakimbie nchi hii, ila lazima wachezeshwe namna moja ama nyingine
 
Nape ni mnafki sana, Hangaya yampasa awe makini sana watu jamii ya Nape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…