GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Siyo kwa Hopeless Minister huyo aliyeko.Tozo mbalimbali za mitandao inaumiza sana Watanzania, viongozi wangeliangalia hilo kwa jicho la umakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kwa Hopeless Minister huyo aliyeko.Tozo mbalimbali za mitandao inaumiza sana Watanzania, viongozi wangeliangalia hilo kwa jicho la umakini.
Wewe mwenye Kazi ( Ajira ) mbona bado ni Masikini tu? Kuwa Kwangu 24/7 hapa JamiiForums Wewe na huo Upumbavu wako Kunakuathiri nini? Nakula Kwako? Vocha za Bando unanipa Wewe? Mbunye huwa unanipa yako? Nyabenga huwa unanipa hilo lako?Kichaa wewe usopungua huku jf, yaelekea huna kazi ya kufanya ni matonya flan au mzee wa marinda
Mkuu hapo unajibishana na Nape mwenyewe, au la basha wa Nape. Usitumie nguvu sana.Wewe mwenye Kazi ( Ajira ) mbona bado ni Masikini tu? Kuwa Kwangu 24/7 hapa JamiiForums Wewe na huo Upumbavu wako Kunakuathiri nini? Nakula Kwako? Vocha za Bando unanipa Wewe? Mbunye huwa unanipa yako? Nyabenga huwa unanipa hilo lako?
Ujumbe wa nani, Genta,funguka,sasa hakuna fungia ya miezi mitatu,au ile faini ya milion25😂Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.
Hovyoooooo......!!!!!!
Hapa kwenye starlink kaniboa sana aiseeAmeibania mpaka Starlink
Atakuwa anakula na wakubwa wa mitandaoHapa kwenye starlink kaniboa sana aisee
Mwanga mboga Genta, vinginevyo utamwagiwa wewe ugali🤔Wengine tunawajua hadi Makwao Kawe Beach Jirani na Mediterranean na Dhambi zao kadhaa zisizotakiwa na DCEA ila tunawastahi tu.
Ni lazima anakula naoAtakuwa anakula na wakubwa wa mitandao
KWA KWELI MHESHIMIWA ANABOA SANA AACHE KUMSEMASEMA MAREHEMU. BINAFSI SIPENDEZEWI RIP MAGUFULIBaba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.
Hovyoooooo......!!!!!!
Wewe mwenyewe marehemu mtarajiwa utakufa utaoza na unanukaWe ungeshauri tumseme wakati gani yule firauni,muuaji na dikteta marehemu?
Sema Tatizo Kubwa Ni Unafki Mkuu Ndio Unawasumbua Sana Viongozi WetuuBaba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike)
In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya Hayati Magufuli) Kimkakati kabisa ili umfurahishe boss wako (Rais Samia) ambaye hakuupenda Uongozi wa aliyekuwa boss wake japo Kimaamuzi walikuwa wakifanya pamoja kwa mujibu wa Katiba ili asifikirie Kukutumbua katika huo uwaziri wako ambao mpaka sasa GENTAMYCINE nikiambiwa nikupe Marks za Kiutendaji nikikupa nyingi basi ni 10% tu ila 90% umeharibu na hufai kuwa hapo.
Hovyoooooo......!!!!!!
Ila wewe si ulikuwa kichaa na nilisikia ulipata nafuu ugonjwa umelud tena auMkuye mumeseme hadi akufe tena huko aliko.
Mkuye msemeeeee mkuyeeeee mkuyeeeee, arooooo yule kichaa jiwe shetani mkuu, kafiri na muuaji mkuye tummsemeeee
HAKIKA. either hivyo au wakimbie nchi hii, ila lazima wachezeshwe namna moja ama nyingineKuna mawaziri wawili lazima waione jela kabla ya kifo chao ni Nape na Makamba. Kesi za ufisadi hazitawapita.
Yy na yule bwana kipara huwa wanajiona hii nchi ni urithi kutoka kwa wazee wao wana haki muda wote kuiongoza,,tujipe mudaHalafu lilivyo Juha linaacha Kutupigania katika hili lenyewe Kutwa tu Kumsimanga Hayati Magufuli na Kumfumbia Mafumbo kama Watoto wa Kike.
Huyo mzee wake kwani alilifanyia nn hili taifa?kama hata kujenga makazi yake alishindwaHaya mambo bhana basi tu., mfano tu yeye kungekuwepo na Mwamba anamsemasema saana Mzee wake Nauye angejisikiaje.
Wanaua Sana vijana mtaani Kwa madawa Yao mbwa haoWengine tunawajua hadi Makwao Kawe Beach Jirani na Mediterranean na Dhambi zao kadhaa zisizotakiwa na DCEA ila tunawastahi tu.