Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Kwa umri ule aliokuwa nao kama hajafa basi atakuwa anaumwa Kifo.

Ila alichokuwa anafanya ni kibaya sana kuniingiza kwenye siasa pasipo matakwa yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu vp unataka kuniambia upande huo ulipo umeridhika au laa namaanisha I... i wa kijani
 
Acheni kuchonganisha Watu na serikali yao.
Nchi hii ni ya watanzania wote sio ya Mali ya MTU mmoja.

Katiba ibadilishwe ili kulinusuru taifa.

Hizi nafasi za Uteuzi ni janga kwa umoja na mshikamano wa nchi.
Utaifa unahujumiwa na watu wanaojipendekeza badala ya kuwaunganisha watanzania wanawagawanya kwa kuchongeana .

Tunaona jinsi hata wakurugenzi wanavyovuruga haki za wananchi kuchagua viongozi bora wanaowapenda; kwa sababu tu ya nafasi za uteuzi watu wanavunja sheria kwa makisudi na kwa kujiamini kabisa.
Hii sio sawa.
Hii nchi ni ya watanzania wote kuminya demokrasia kutawafanya watu waone kuwa hii nchi ni mali ya MTU mmoja kwa sababu tu ya nguvu kubwa anayopewa na katiba iliyopo. Hii sio sawa.

Membe ana kila haki ya kikatiba ya kutimiza ndoto yake alimradi anatimiza ndoto yake Kikatiba na Kidemokrsia.
Hata hivyo tusimsingizie jambo la kutunga na kumchonganisha na Mkuu wa nchi.

Kama wanaona kuwa wanataka kumpinga MTU yeyote 2020 ni haki yao mana ni mwaka wa uchaguzi.

CCM wasiposimama imara na kuhakikisha kuwa marekebisho yanafanyika kwenye sheria ya uchaguzi hakika watakuja kuumia zaidi kuliko wapinzani ambao kwa ni rahisi tu kupata nafasi ni kiasi tu cha kumuunga mkono mkuu na kuacha nafasi zao na kuzipata upya kwa urahisi kabisa.
Wale wabunge wa CCM wajitafakari kama nao wana nafasi ya kucheza na na nafasi zao wakazipata tena kupitia popote.
Mfano tu Wale 17 wa korosho wangepigwa chini Leo hii wangekua wakulima wa mbaazi na bei ingeshuka zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mengine nakubaliana na wewe isipokuwa hapo Panaposema asiwe amiri jeshi mkuu. Sasa jeshi litakuwa na utii kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish as you are!
 
mkuu kwa nini mshindi wa pili asirithi ubunge?
ukiwaacha wa chama kimoja wanaweza kufanya mchezo wa kupasiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…