Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

watajijua wenyewe maana upinzani amemaliza tayari acha wamalizane wenyewe kwa wenyewe. km mapinduzi ya znz baaba kuwamaliza hizbu walimalinzana wenyewe kwa wenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape akae kimya tatizo anajiona yeye ndio yeye Na yuko Strong kuna kitu Haelewi Magufuli aliingizwa uraisi Na team ambayo Kikwete,Lowasa ,Membe and company walikuwa hawajui Na hakuwa party ya maikundi ya mtandao. Mtandao uliomwingiza Magufuli ni ule ambao walikuwa neglected Na makundi ya uraisi yaliyopita ikiwemo mitandao ya Kikwete,Lowasa, Nape, membe Na Raisi mstaafu Karume wa Zanzibar
 
Una point kubwa mkuu
 

Hapa la msingi ni moja tu, na mleta uzi anakiri mwenyewe-ma CCM yananunua wabunge, walianza kununua wa upinzani na sasa wanataka kujinunua wenyewe. Kuna sababu za msingi za kutafuta ile 1.5T imekwenda wapi. Huenda CCM isiwe salama na mbinu zake hizi.
 
Wait wengine hupenda kujilazimisha kuota naoto za kufikirika na kizihalalisha kuwa intejinsia Yale imemweza hivyo Kimbe ni ndoto za kifikirika zinazoambatana na Jodi na kujipendekeza.hatari sana kuishi kwa kujipendekeza na uongouongo.
 
Naumia sana kuona mtu mzima kama wewe ukiandika pointlesssssss
 
wako wabunge wa ccm wanatamani wangekuwa wabunge wa ccm ilj wapige mpunga,
 
Leo sina mengi kama Reginald...napita tu nyumba ya jirani,nione fito ngapi zinagombaniwa na membe...kama tetes inanyojieleza.
 
huu uzushi wa kishamba ni Mjinga mijinga pekee anaweza kukaa akaamini hayo maandiko, bila shaka mleta Mada kaamua kutengeneza propaganda za uchonganishi akiamini atazawadiwa ukuu wa Wilaya kama si ukurugenzi, safari hii tutashuhudia uzushi mwingi kwa wasaka vyeo toka kwa Mh kiranja mkuu.
 
Mwovu daima huogopa hata kivuli chake mwenyewe. Membe kalala hoi sasa mmemtoa wapi hata kabla ya 2019 jamani?? Msimchonganishe na babake
Mleta mada kaamua kusaka cheo kwa mgongo wa uchonganishi, huu uteuzi ni mara mia ufutwe sasa kwani umesababisha mada za uchonganishi na uchochezi kuwa nyingi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…