Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Kuna Mzee mmoja kipindi nikiwa mdogo kwenye kampeni za Urais mwaka fulani alikuwa ananivalisha Kofia za Ccm.

Yule mzee namsaka kwa hali na mali alikuwa anaitwa Zabron.

[emoji35] [emoji35] [emoji35]
***** wa lahi we jamaa una ubongo wa tofauti sana aisee.Comments zako ni kiboko
 
Uzi wa kutungwa na mtu mjinga anayetafuta kiki kqa fitna.
Grow up.
 
Sisi tunafaham CCM ni ya Membe, Nape na Kinana hii wing nyingine ya Slow2 ni ya maharamia tu
 
JPM ana ulinzi wa Mwenye Enzi Mungu walahi
Sio binadamu wa mchezo walahi
Long may he reign JPM
Maadui zako wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi
 
Back
Top Bottom