love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Mbona mlishangilia sabaya kufungwa hamkusema alifanya kwa sababu jiwe hashauriki wana ufipaHuwezi kumlaumu mtu yeyote aliyekuwepo kwani jiwe alisema yeye hashauriki, au umesahau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mlishangilia sabaya kufungwa hamkusema alifanya kwa sababu jiwe hashauriki wana ufipaHuwezi kumlaumu mtu yeyote aliyekuwepo kwani jiwe alisema yeye hashauriki, au umesahau?
Kwani serikali goi goi haiwezi kuwa na demokrasia au serikali ya kidemokrasia unadhani haiwezi kuwa goi goi?Unajua hata context ya demokrasia?
Si tulikubaliana wana ufipa ilikuwa serikari lege lege na goi goi kumbe leo ndio demokrasia
popo ni ndege mnyama? ufipa elewekeni ilikuwa serikari lege lege au demokrasia
Sabaya mwenyewe analia mpaka leo kuwa alitumika vibaya na Jiwe na sasa hata wana ccm wenzake wamemtengaMbona mlishangilia sabaya kufungwa hamkusema alifanya kwa sababu jiwe hashauriki wana ufipa
Fanyeni kama mlivyo fanya kwa sabaya mfuateni mpango au hagusiki?Sabaya mwenyewe analia mpaka leo kuwa alitumika vibaya na Jiwe na sasa hata wana ccm wenzake wamemtenga
Neno zito hilo mkuu!Kwani serikali goi goi haiwezi kuwa na demokrasia au serikali ya kidemokrasia unadhani haiwezi kuwa goi goi?
Acha kuchekesha mkuu, jiwe alikuwa fisadi mkuu, aliulizwa juu ya 1.5tr akaona amtoe CAG. Tuseme tu ni Mungu aliingilia kati baada ya kuona vilio vimezidi.
Walinda legacy walikuwa wanagawana hela za mikopo ya nchi.Walinda legacy hili ni jambo ambalo halikubaliki kwao.
Mkuu umeua.[emoji23]Ni kweli kabisa una haki ya kutoa maoni kama ambavyo na sisi tuna haki hiyo hiyo ya kukuambia kwamba maoni yako ni ya kindezi na kipimbi sana, yaani hatutaacha kukukumbusha hilo...
nape mi natamani hata kumuita jina baya sana,lakini yote haya yamesababishwa na ccm yenyewe,Nape anataka kutuaminisha kwamba haoni hata kimoja kilichofanyika awamu ya 5 hata mpaka ahoji kwamba pesa zilizokopwa zifanyiwe uchunguzi.Huo uchunguzi ukishafanyika ikagunduoika kuna watu waliharibu hao wahusika watachukuliwa hatua au watafichwa kama ile ripoti ya fedha zilizochotwa BOT Magufuli alipofariki?
Huyu Nape naamini kabisa anapiga hizo kelele kwa malengo yake binafsi kisiasa ili akamate nyumbu wake, lakini anazijua vizuri tabia za chama chake kuwalinda wahalifu, anajua hakuna watakachofanywa hizi kelele zake ni upepo tu utapita.
Ingependeza sana prof Assad angelikuwepo miongoni mwa hili jopoCAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5.
CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu.
Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic.
Kisirisiri wengi wanajua frdha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa st inflated prices, na hakuna aliyeuliza.
Miradi haikuhakikiwa na bunge, hilo linajulikana.
Nenda Tegeta A, Mbweni na kwingineko, majumba yalipaa kama uyoga, na ni watu fulani tu.
Nape umetonesha kidonda.
Anachofanya ni miongoni mwa kazi za wabunge kutaka ukaguzi ufanyike ili watanzania wafahamu kwa kinagaubaga fedha hizo zilitumikaje na si kubebeshwa mizigo wasiyoitambuaUkiangalia sana Nape ana hasira amewekwa pembeni, anataka akumbukwe nae anyamazishwe kwa kupewa ulaji, Nape ni mnafiki sana, sasa hivi anapiga kelele kwakuwa hayuko mezani.
Nadhani ukaguzi wa kawaida na ukaguzi maalum ni vitu viwili tofauti. Nimesoma leo gazeti CAG mstaafu Mzee Uttoh anasema Bunge likiomba ukaguzi kwa CAG ataifanya ukiwa ni ukaguzi maalum ambao tutakuwa na hadidu za rejea ili kutoa majibu kwa Bunge na taarifa litakabidhiwa Bunge kwa kuwa ndio wameomba ukaguzi husika. Ukaguzi wa kawaida hufuata viwango vya ukaguzi lakini ukaguzi maalum naambiwa unakuwa na hadidu za rejea ambazo husema ni maeneo gani ya kuangalia.CAG anaweza na atafanya hiyo, lakini ni in general terms kama anavyofanya ukaguzi kila mwaka.
Lakini kwa msimamo huo wa kufanya Annual Audit ya CAG, hoja ya jinsi mikopo ya Awamu ya Tano ilivyotumika inaweza kupotelea kwenye mafaili.
Report ya huyu kamanda mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa imeshiba!Hili litawafanya MATAGA wafiche sura zao na kuacha kuiandama Serikali ya Samia
Pia ni jambo zuri pia kwa Wananchi walioaminishwa kuwa Marehemu Magufuli alikuwa Malaika mtakatifu kumbe alikuwa ni Shetani la kutisha.
All in all CAG Kichere aongezewe walinzi binafsi kwa maana akina Polepole bado wapo.
Yupi, Maharagwe?Kama kulikuwa na kasoro kwenye awamu ya 5 kuhusu hizo fedha za mkopo, ina maana hata aliyrkuwa VP, PM na WFM wanahusika kwa asilimia za kutosha.
Nafikiri Mhe. Nape ana jambo lake binafsi na si kwamba anamtengeneza mama. Anambomoa kidogokidogo ili ikifika 2025 upepo ubadilike. Nadhani wana lengo lao na yule jamaa wa TANESCO mwaka 2025.
Kazi iendeleeWaziri wa fedha wa kipindi hicho ndio makamu wa rais sa hivi.Watamfanya Nini?
Kwa kweli uadilifu na ushujaa wa Prof Assad kuhoji kwa makusudi zilipo Trillioni 1.5 sasa ndio tunaona umuhimu wake.Ingependeza sana prof Assad angelikuwepo miongoni mwa hili jopo
Sawa kabisa nami nafikiri itakuwa hivyo.Nadhani ukaguzi wa kawaida na ukaguzi maalum ni vitu viwili tofauti. Nimesoma leo gazeti CAG mstaafu Mzee Uttoh anasema Bunge likiomba ukaguzi kwa CAG ataifanya ukiwa ni ukaguzi maalum ambao tutakuwa na hadidu za rejea ili kutoa majibu kwa Bunge na taarifa litakabidhiwa Bunge kwa kuwa ndio wameomba ukaguzi husika. Ukaguzi wa kawaida hufuata viwango vya ukaguzi lakini ukaguzi maalum naambiwa unakuwa na hadidu za rejea ambazo husema ni maeneo gani ya kuangalia.
Mpango ataulizwa na uchunguzi utafanyika.Muulzen mpango anajua kila kitu manaogopa nini kumuulza.
kwahiyo kutosema ni wasafi ni kujustify ufisadi ?
unatumia nini kufkri?
Naendelea kuperuzi nione komenti iizidiyo hioHuo uchunguzi ukishafanyika ikagunduoika kuna watu waliharibu hao wahusika watachukuliwa hatua au watafichwa kama ile ripoti ya fedha zilizochotwa BOT Magufuli alipofariki?
Huyu Nape naamini kabisa anapiga hizo kelele kwa malengo yake binafsi kisiasa ili akamate nyumbu wake, lakini anazijua vizuri tabia za chama chake kuwalinda wahalifu, anajua hakuna watakachofanywa hizi kelele zake ni upepo tu utapita.