Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

Unajua hata context ya demokrasia?
Si tulikubaliana wana ufipa ilikuwa serikari lege lege na goi goi kumbe leo ndio demokrasia
popo ni ndege mnyama? ufipa elewekeni ilikuwa serikari lege lege au demokrasia
Kwani serikali goi goi haiwezi kuwa na demokrasia au serikali ya kidemokrasia unadhani haiwezi kuwa goi goi?
Acha kuchekesha mkuu, jiwe alikuwa fisadi mkuu, aliulizwa juu ya 1.5tr akaona amtoe CAG. Tuseme tu ni Mungu aliingilia kati baada ya kuona vilio vimezidi.
 
Neno zito hilo mkuu!
 
Ni kweli kabisa una haki ya kutoa maoni kama ambavyo na sisi tuna haki hiyo hiyo ya kukuambia kwamba maoni yako ni ya kindezi na kipimbi sana, yaani hatutaacha kukukumbusha hilo...
Mkuu umeua.[emoji23]
Wanufaika wa mikopo wanapambana kwelikweli ili CAG au kamati teule ya Bunge isifanye uchunguzi maalum.
 
nape mi natamani hata kumuita jina baya sana,lakini yote haya yamesababishwa na ccm yenyewe,Nape anataka kutuaminisha kwamba haoni hata kimoja kilichofanyika awamu ya 5 hata mpaka ahoji kwamba pesa zilizokopwa zifanyiwe uchunguzi.
 
Ingependeza sana prof Assad angelikuwepo miongoni mwa hili jopo
 
Ukiangalia sana Nape ana hasira amewekwa pembeni, anataka akumbukwe nae anyamazishwe kwa kupewa ulaji, Nape ni mnafiki sana, sasa hivi anapiga kelele kwakuwa hayuko mezani.
Anachofanya ni miongoni mwa kazi za wabunge kutaka ukaguzi ufanyike ili watanzania wafahamu kwa kinagaubaga fedha hizo zilitumikaje na si kubebeshwa mizigo wasiyoitambua
 
CAG anaweza na atafanya hiyo, lakini ni in general terms kama anavyofanya ukaguzi kila mwaka.

Lakini kwa msimamo huo wa kufanya Annual Audit ya CAG, hoja ya jinsi mikopo ya Awamu ya Tano ilivyotumika inaweza kupotelea kwenye mafaili.
Nadhani ukaguzi wa kawaida na ukaguzi maalum ni vitu viwili tofauti. Nimesoma leo gazeti CAG mstaafu Mzee Uttoh anasema Bunge likiomba ukaguzi kwa CAG ataifanya ukiwa ni ukaguzi maalum ambao tutakuwa na hadidu za rejea ili kutoa majibu kwa Bunge na taarifa litakabidhiwa Bunge kwa kuwa ndio wameomba ukaguzi husika. Ukaguzi wa kawaida hufuata viwango vya ukaguzi lakini ukaguzi maalum naambiwa unakuwa na hadidu za rejea ambazo husema ni maeneo gani ya kuangalia.
 
Report ya huyu kamanda mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa imeshiba!
 
Yupi, Maharagwe?
 
Sawa kabisa nami nafikiri itakuwa hivyo.
Na serikali ya Mama Samia ikipuuzia hilo, litaisumbua sana Serikali zijazo.
Maana Rais anaweza kuendesha ufisadi wa kutisha na hakuna utaratibu wa kuzuia hilo.
Na hapo ndio tunaona ujinga wa Rais kuwa na kinga ya kutoshitakiwa.
 
Naendelea kuperuzi nione komenti iizidiyo hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…