Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

Don't trust a politician akikwambia usiku mwema toka nje uangalie.
 
Hivi wewe na akili yako ulimuona JPM anaweza kuficha hela hata Billion moja wewe? Azifiche wapi? Huelewi jinsi walivyokuwa wanamuwinda kumuumbua? Aipeleke benki ipi? Angalikuwa ni JK sema huyo ni mjanja tangu awamu ya pili na Barick yake.
Ogopa sana wema unaotendewa katika mazingira ambapo mtenda wema anazima taa kwanza.
 
Hahahaaaaa hii thread ina nyundo za hatari
 
Mkuu waache wachunguze tu we tulia zako tuliii
 
Hata kama hamdanganyiki, hata kama mnajua kila ovu; then mnavyojua mnafanya nini?
Siyo lazima maamuzi uyaone hapa subiri hapo hapo.

Kila jambo lina wakati wake hata yule bibi aliyeimba TURN TURN TURN Dolly parton alikuwa anaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…