Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

Unaamini Mangula hatakiwi kumpinga mama Samia, Ila hapohapo unakubaliana na nape kumpinga mangula
kwa sababu Nape hana cheo chochote katika chama ni mwanachama wa kawaida tu ila Mangula ni makamu mwenyekiti wa chama yule ni boss wake direct. Kawaida ukiwa unataka kumpinga boss wako unachia nafasi yako unampinga. Ni kama bungeni huwezi kuwa waziri halafu ukasimama kuipinga serikali ila kama unataka kuipinga unaacha waziri unarudi nyuma kama mbunge wa kawaida then sema serikali japo wote wanatoka CCM.
 
Mangula ndiye ameshikilia CCM,
JK yalimshinda,mzee alifuatwa shambani kwenye viazi.Safu zote za juu Hangaya kawang'oa.Jiulize kwanini mzee yupo na kwanini alisimama na member kutofukuzwa chamani.Mzee wa utaratibu na haki.
 
Mangula ndiye ameshikilia CCM,
JK yalimshinda,mzee alifuatwa shambani kwenye viazi.Safu zote za juu Hangaya kawang'oa.Jiulize kwanini mzee yupo na kwanini alisimama na member kutofukuzwa chamani.Mzee wa utaratibu na haki.
wenye CCM wenyewe wameshakufa na CCM ipo tu, Mangula eti kashikilia CCM yeye nani kwani kuongoza chama nayo science. yupo pale sababu majukumu yake very limited sio mtendaji mkuu wa chama. uchaguzi unakuja anapigwa chini kishashtua
 
Nape ni swala la muda tu .... lazima atarudi.

Hawa ndiyo watu wa design za Maza .... Watu wa JPM wanafanyiwa timing tu mpaka pale Maza atakapojiridhisha kuwa nafasi yake iko salama!!
 
Mangula aliwahi kurudishwa Kijijini na wakina JK a.k.a Wana mtandao mpk akaishia kua mkulima wa nyama,akagombea na kacheo kwa ngazi ya mkoa na bado wakamla kichwa.Baadae wakamrudisha kwa kazi maalum ya kumkata Lowassa.

Naona ana hamu ya kurudishwa Kijijini kulima Tena.
 
Bandari ijengwe itupunguzie foleni huku Morogoro road na Mandela road.

Copper yote ya Wachina iende Bagamoyo.
 
Kwa kuwa mradi hui umekuwa na malengelenge sana sasa ni wakati wa serikari kuwa wazi

Kwanza masharti ya wachina ni yapi na mahitaji yetu ni yapi kisha tutajadili humu, serikari itaona watu tunataka nini ili ifanyie kazi hizo hoja.

Lakini wakijifanya ni wakora basi huo sio mradi wa wanatanzania bali ni wao viongozi na hao wachina.
 
Mama kazidi upole naomba apite hapa asome. Mama safisha ndani ya chama kuna wachawi wengi wapinzani sio tishio kwako humo ndani ya jumba kuna wanga.
Huo uwezo anao?
 
The walking dead will soon expose what is burning under the bed
 
Nape anahitaji zoezi la kutoka getini Hadi jengo la mjerumani Kwa mguu .parefu👹 ohooo
 
Na yeye katoa reference ya mambo yaliyofanyika pasi kuwepo kweny ilani ya CCM, je kosa liko wap?
 
Kaka nchi yetu bado sana katika ujenzi wa jamii ya uwazi yaani bado Sana. Hata wabunge wengi hawako informed ndio maana mijadala yao iko cheap Sana imekaa kimajungumajungu tu. Wanaogopa kuweka transparency sababu nchi yetu ina urasimu wa hali ya juu pengine kuna miradi mingine serikalii inatekelezwa chini ya makabaliano ya hovyo. Hili suala la bandari ya bagamoyo sio suala binafsi la nape, Watanzania tuna haki ya kuhoji kutaka kujua
 
Na yeye katoa reference ya mambo yaliyofanyika pasi kuwepo kweny ilani ya CCM, je kosa liko wap?
Ukiangalia kwa makini utagundua wachangiaji wengi hawatoi hoja zaidi ya kumshambilia nape. Tuna kizazi ambacho kinapenda majungu kuliko ukweli wenyewe hii ni hatari kwani kizazi hiki ndicho kinatoa viongozi wa kutupeleka kwenye nchi ya ahadi
 
Halafu waziri anakuja anasema hatununui sukari,, that's a nonsense

alisikika Chief akisema
 
Nadhani viongozi kama nape hua hawasomi documents za chama wanaenda kimhemko tu kukidhi matakwa yao.
Nachofahamu yote aliyokua anafanya magufuli yamo kwenye ilani ya chama chake. Na ndio maana amepata sifa kubwa kwa kutekekeza sehemu kubwa ya ilani ya chama chake kuliko marais wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…