Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

Ukiangalia kwa makini utagundua wachangiaji wengi hawatoi hoja zaidi ya kumshambilia nape. Tuna kizazi ambacho kinapenda majungu kuliko ukweli wenyewe hii ni hatari kwani kizazi hiki ndicho kinatoa viongozi wa kutupeleka kwenye nchi ya ahadi
Nape Hana hoja
Nape anaamini Kama JK na JPM walifanya miradi nje ya ilani basi kila raisi anapaswa kufanya hivyo bila kurekebisha.
Hoja za Nape ni za kijinga sana, yaani kama JK na JPM walikosea basi na wengine nao wakosee
 
Nape anatafuta uwaziri kwa udi na uvumba.

Ila ile siri aliyimpa mwendazake alipoenda magigoni analia wenzake wanaijua!
Kwani kuna ubaya gani akiutaka huo uwaziri? Yeye si mtanzania? Au kuna watu wanaostahili kutamani na wengine hapana? Tueleze bwana.
 
Ila Nape ana kiherehere sana kwani angekaa kimya angepoteza nini?..
Ndio maana Mzee baba mwenyewe JPM alimtembeza kwenye jua kwa magoti ili msamaha wake ukubalike
 
Mama kazidi upole naomba apite hapa asome. Mama safisha ndani ya chama kuna wachawi wengi wapinzani sio tishio kwako humo ndani ya jumba kuna wanga.
Mzee Mangula by default sio mtu wa active political strategies, he is mostly on political intelligence, planning, and institutional administration. The fact that, he has step in political dialogue could be because there is no a person who can stand firm and speak of party affairs
 
Je Chato International Airport iko kwenye ilani?
 
Hawa vijana wasioweza kulitumikia taifa mpaka wawe mawaziri hawafai, wanajiona bora zaidi ya wengine, uongozi wa serikalini usitafutwe kwa kelele nyingi za mitandaoni, uadilifu wa mtu na uchapakazi wake ndio uwe vigezo.
Labda bwana marope ndivyo alivyo mshauri kuwa ukitaka uwaziri piga kelele nyingi kama yeye alivyofanya kupitia kimvuli cha kigogo2014 tuttajuaje.....
 
Wewe ndo unakijua Chama kuliko Nape?🚮🚮🚮
 
Uyu nape ana tafta uoenyo wa kusikika tena kisiasa
 
Wee mbna mpya hii, na ile sumu alinywesha vipi had kuwa hoi, km ana uwezo huu?
 
Hivi Nape ni jina la kimakonde kweli au la kidini?
 

Jadili hoja yake, acha personality attack...
 
hivi ujenzi wa bandari ya bagamoyo watu kinawauma nini hadi wanaizuiazuia? hiyo inatakiwa kujengwa haraka sana tena iwezekanavyo.
 
Uwanja wa ndege Chato upo kwenye ilani ipi? ununuzi wa ndege? ununuzi wa wapinzani? bwawa la umeme? mzee atulie
 
Ila Nape ana kiherehere sana kwani angekaa kimya angepoteza nini?..
Ndio maana Mzee baba mwenyewe JPM alimtembeza kwenye jua kwa magoti ili msamaha wake ukubalike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alitembea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…