Pre GE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda wewe ndiye huna akili unayeshindwa kujadili hoja na kuishia kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Lucas hujawahi kuwa na hoja bali una mihemko tu ndiyo maana mara nyingi unaabika kwa kuanzisha mada amabazo hujazifanyia utafiti,wewe ni kilaza tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kiti hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifikiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kazi za chama kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
NGO la mbowe lilishajifia
 
Lucas hujawahi kuwa na hoja bali una mihemko tu ndiyo maana mara nyingi unaabika kwa kuanzisha mada amabazo hujazifanyia utafiti,wewe ni kilaza tu.
Mimi nikianzisha na kuweka andiko langu hapa nakuwa nimefanya utafiti wa kina na uchambuzi .ndio maana mtu kama wewe mwenye akili ndogo huwa unashindwa kupangua hoja zangu na kuishia kuporomosha matusi kama kichaa au mwendawazimu
 
Ndiyo ukaokota upupu toka parody account ya Elon Musk ukaamini ni account halisi ya Elon Musk wewe ni mshamba na kilaza tu. Wewe bado sana ndiyo maana samia anakupotezea.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kiti hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifikiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kazi za chama kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haahaa nape anajua jinsi ccm inavyoomba usiku na mchana mbowe ashinde uwenyekiti
 
Back
Top Bottom