Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

Kwanza wana posho/budget ya kutosha ku_updates na kusambaza story ?
 
View attachment 2218266

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumza kuhusu kauli ya ‘mama hatukuelewi’ ambayo anadai kuna watu wamekuwa wakiitumia wakimaanisha hawamuelewi Rais Samia Suluhu...
Ni kweli ni maafisa habari wa serikali, katika mazuri na mabaya ya serikali bila kuvunja sheria za Nchi. 'Kuwafanya wananchi waielewe serikali' Hii kauli kama imeegemea upande moja tu, wa mazuri tu.
 
My brother Nape, mambo ni mengi na muda ni kidogo, muache huyo kijana
 
Vijana wa ccm ni wabaya kuliko wazee wao!
Nape, Mwigulu, Sabaya, Heri, January, (taja yeyote yule) wote ukiwasikiliza na kuwaangalia usoni unaona uchawa, wizi, ukatili, kiburu, dharau, majivuno, uonevu...!
 
"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,
wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara?,mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama...
Hii nchi inatakiwa wakoloni warudi tu watutawale,

Sisi na hawa vichaa akina nape wote tutawaliwe tu na mkoloni.
 
"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,
wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara?,mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama?...
Mimi mwenyewe simuelewii hata kidogo

Angalia bei ya vifaa vya ujenzi

Watakao muelewa niwale wapo vijijini ambao wanaka kuwaza kula tuu.

Na hakuna Nape mwenyewe

Swala la kufungia sijui vyombo vya habari yeye Naye sialikuwa serikalini
 
Kwa hiyo hapa waziri yupo kwenye kampeni ya 2025 tayari?
Kama huu sio ukichaa ni kitu gani!
 
Wafuasi wa dikteta mmagufuli ndio hawamuelewi Samia,washazoea utawala wa magufuli wa kuteka na kuua watu
 
Asilazimishe kila mtu amuelewe Mama yake!
Huyo Nape Nauye hana uwezo wowote wa akili.Kwa kuwa hana uwezo Kabisa wakaona wampe wizara ya michezo.Hana uwezo Kabisa hata wa kujenga hoja.Baba yake tu alikuwa muimbaji .Yaan hawana uwezo Kabisa.Hapo alipo anajua kuwa uwazir wake ni kwa kuwa Samia yupo.Ndio maana anapigania ugali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…