Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Sikulamba asali! kwa maana hiyo, sote tuseme mama anaupiga mwingi ili hali huo mwingi hautufikii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh.Nape Nnauye yuko sahihi😍"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,
wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara?,mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama?"
~Nape Nnauye
----
View attachment 2218275
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumza kuhusu kauli ya ‘mama hatukuelewi’ ambayo anadai kuna watu wamekuwa wakiitumia wakimaanisha hawamuelewi Rais Samia Suluhu.
Huyu hapa Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga katika Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera:
“Mtu mmoja nimeona amerekodi video anasema ‘Mama huku mtaani watu hawakuelewi’, inawezekana wapo kweli ambao hawamuelewi, lakini nikajiuliza wale waliofukuzwa kwa vyeti feki wamerudishwa kazini.
“Watoto waliofukuzwa kwa ujauzito na walioacha shule kwa sababu mbalimbali wameruhusiwa kurudi shule.
“Kuna watu wamefunguliwa akaunti za biashara zilifungwa kwa sababu mbalimbali, bado unasema watu hawamuelewi, lakini kwa sababu hajibiwi inaonekana ni kama kweli watu hawamuelewi.
“Nilikuwa Karatu wakati nakagua mradi wa Anwani za makazi, wakaniambia kuna wakati ulikuwa ukitoka Karatu kwenda Arusha hukutani na magari ya watalii, lakini sasa hivi yanapishana tu magari ya utalii.
“Tumefungua vyombo vya habari bila masharti, wafanyakazi wa Serikalini walikaa miaka mingapi bia kupandishiwa mshahara, mama ameshasema jambo lenu lipo, hao nao hawamuelewi mama?
“Anaachwaje mtu kichaa mmoja hivi anasema ‘unajua huku hawakuelewi’, nawapa changamoto maofisa habari, unapokuwa afisa habari wewe ni katibu Mwenezi wa Serikali, wajibu wako ni kuwafanya wananchi waielewe Serikali.”
Chanzo: Maelezo
Huyu ndio yule mwenye mavibao yaliyokosewa nchi nzima na bado anatumia hedikoputa kuyakagua??
"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,

Nchi fake et nae huyu sasa hivi ni waziri Daah hovyo kbsa"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,

sema walamba asali wake mlio wengi ila mwananchi wa kawaida hawez muelewa huyo bibi anazingua kwa mengi mno!Mh.Nape Nnauye yuko sahihi😍
Mama anaeleweka vyema na watanzania tulio wengi 👍
#Siempre JMT🙏
Hoja hupingwa kwa hojaHata mi nawalalamikia wanaosema anazindua royo tua karibia mwezi mzima huku tukiwa hatuna mkataba wowote wa kutuonyesha kwamba watalii watakuja. Aise hawa wananchi sio wema.
Huyu hapa na hawa hapa:"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,
wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara?,mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama?"
~Nape Nnauye
----
View attachment 2218275
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumza kuhusu kauli ya ‘mama hatukuelewi’ ambayo anadai kuna watu wamekuwa wakiitumia wakimaanisha hawamuelewi Rais Samia Suluhu.
Huyu hapa Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga katika Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera:
“Mtu mmoja nimeona amerekodi video anasema ‘Mama huku mtaani watu hawakuelewi’, inawezekana wapo kweli ambao hawamuelewi, lakini nikajiuliza wale waliofukuzwa kwa vyeti feki wamerudishwa kazini.
“Watoto waliofukuzwa kwa ujauzito na walioacha shule kwa sababu mbalimbali wameruhusiwa kurudi shule.
“Kuna watu wamefunguliwa akaunti za biashara zilifungwa kwa sababu mbalimbali, bado unasema watu hawamuelewi, lakini kwa sababu hajibiwi inaonekana ni kama kweli watu hawamuelewi.
“Nilikuwa Karatu wakati nakagua mradi wa Anwani za makazi, wakaniambia kuna wakati ulikuwa ukitoka Karatu kwenda Arusha hukutani na magari ya watalii, lakini sasa hivi yanapishana tu magari ya utalii.
“Tumefungua vyombo vya habari bila masharti, wafanyakazi wa Serikalini walikaa miaka mingapi bia kupandishiwa mshahara, mama ameshasema jambo lenu lipo, hao nao hawamuelewi mama?
“Anaachwaje mtu kichaa mmoja hivi anasema ‘unajua huku hawakuelewi’, nawapa changamoto maofisa habari, unapokuwa afisa habari wewe ni katibu Mwenezi wa Serikali, wajibu wako ni kuwafanya wananchi waielewe Serikali.”
Chanzo: Maelezo
Very silly boy!"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama?,

Haki ya nani. Bora….Hii nchi inatakiwa wakoloni warudi tu watutawale,
Sisi na hawa vichaa akina nape wote tutawaliwe tu na mkoloni.

Wewe mama'ko unamuelewa?Asilazimishe kila mtu amuelewe Mama yake!
Unaonesha fikra zako ni mfu.Hawa jamaa Mungu awasaidie...
Mbona JK alishawaambia, "Fikra haipigwi rungu", au hawakuelewa maana yake.
Yaani leo wanataka watufundishe namna ya kufikiri? Watu wakisema hawaelewi, wapeni uelewa sio kuwaita vichaa!
Alimtosa kwa haki?Nape kamba yako ni ndefu we lazima umuelewe mama!
Halafu Magu alishakutosa Mama akakunyanyua tena unategemea utasemaje wakati unalamba asali!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app