Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?


famia ya Mnauye, Makamba, Inziwani mnaamba asali....wenshenu hatilambi asali....mshitufokee mtuaache tilalamike na shishi
 
Hakutumia neno kichaa lakini, unamchonganisha
 
hasira za nn?
 
famia ya Mnauye, Makamba, Inziwani mnaamba asali....wenshenu hatilambi asali....mshitufokee mtuaache tilalamike na shishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe msambaa umenichekesha sana shenzi kabisa
 
Mimi nauliza hivi, Huyo aliyepita na kufanya hayo mnayodai mmerekebisha alikuwa CHAMA CHA UPINZANI au TAWALA? Kama alikuwa ni chama chenu iweje muwashangae WANAOWASHANGAA ninyi. Mfano ni wewe NAPE ulishiriki kufunga uhuru wa habari, hata mwaka haujaisha mtu yule yule anarudi kufungua. Achani KUWADHARAU wananchi.
 
Kwani kilichomtembeza kwa magoti badala ya kutumia nyayo za miguu siyo kumteta mwamba JPM, au akisemwa mama tayari inakuwa nongwa......
 
Nape lazima amuelewe mama kwani yeye pamoja na wenzake wanajilia keki ya taifa bila kuangalia walalahoi wana hali gani.hii nchi.kungekuwa na katiba ya wananchi,na tume huru ya uchaguzi hawa viongozi wasingekuwa wanaongea hovyo.wala wasingekuwa madarakani.ila siku VAR zikifungwa kukakosekana magoli ya mikono.viongozi wangeheshimu na kusikiliza maoni ya wananchi.hali ni mbaya kwa watu wa kipato cha kati.
 
Huyu Nape amesahau alivyotishiwa na bastola kwasababu ya ubabe wa viongozi?!
 
Kwani uongo!? Samia na watu wako wananchi tulio wengi hatuwaelewi.
 
hata yule wa kisongo na mwenzie bashite alitaka tumwelewe mwenda zake kama sio moja kwa moja basi kwa lazima ila tumwelewe.

ni zama tu zinabadilika!.
 
Watu kama akina Nape ndo wanomwambia mama kuwa mabo yapo safii.. Kumbe huku kitaa tunateseka haswaa..!! Niliupenda ushauri wa jamaa aliyeitwa kichaa kuwa.. MAMA ASIWAPE WATU MASIKIO, AENDE MWENYEWE DUKANI AKAJIONEE HALI HALISI
Mbona manji yako safi
Fanyeni kazi hakuna vya bure
 
Mbona hata sisi hatumuelewi.... yaani analea wenye vyeti fake maana yake anahamasisha watu ku forge vyeti kwa kuwa wataonewa huruma na kulipwa.... je wale tuliojibidisha na kupata ufaulu tunamwelewaje Samia... yaani mtu ka forge analipwa mtu anavyeti sitahiki akazurumiwa haki yake amshangilie...ujinga mpya kuwahi kuuona.
 
We know watoto wengi wa vigogo ndo nyumbani kwa vyeti fake so hakuba jipya.huyu nae naona anatamani kukantaga migongo ya akina mama saa hivi
 
Kitu kizuri tunakufahamu.... fikra zako zinaendana na jina la aliye madarakani wakati huo. Wakati wa Jakaya ulikuwa na mtazamo tofauti na wakati wa John na leo una mtazamo tofauti wakati wa Hassan.
huyu bibi bado yupo daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…