Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari


Hata huyu alikuwa Rais na aliagiza wengine wafanyiwe kama ilivyokuwa kwa Nape lakini naye walipochoka yakamkuta"


 
Daaaa......ama kweli kila zama zina historia yake.
 
Aiseee, leo Nape ni wa kufanyiwa hivi. Kweli namba imesomeka.
 
Dah!

Mimi si mpenzi wa CCM na si shabiki wa Nape ila hicho nilichokiona kwenye hiyo video sijakifurahia.

Kwangu haki ni haki tu.

Ni nini hasa kilipelekea yote hayo?

Kuna anayejua humu anieleweshe zaidi?
kuna namba inaitwa KolamiJ Bashite ipigie itakupa ufafanuz
 

Tumuache aendelee kutapeli watu.
 
Huyo mwenye suti nyeusi ni usalama wa taifa? vipi hao wenye T shirt zinazofanana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…