Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Kiukweli hata Mimi nilikuwa simpendagi kihivyooo. Ila imeniuma....ushauri..Dah imeumiza japo simpendi Ila wamemkosea heshima wangempigia simu tuu
Acha nayeye aisome kwa nyumaMalipo n hapa hapa duniani goli la mkono limemrudia
Shidaaa!Huyo mwenye blue ni askari kweli walahi! Duh!
Sijui, nnachojua ni kwamba mdomo utumike kusema kweli na kusimamia kweli na sio fitna na uzandikiHivi hujui athari ya mdomo?
ila jamaa fala sana....cjui kaishia la saba mtu kaomba id ww unatoa bastola? kulukua na uhitaji gani wa kufanya ivo? why ajinyeshe kwny media kiadi icho?Hao maaskari hawana shida wao wanatekeleza walicho ambiwa na wakubwa wao hawawezi kataa
Ni ajabu, hapakuwa na umuhimu wa kutoa bastola angejitambulisha tu afanye icho alichotumwa kufanya.ila jamaa fala sana....cjui kaishia la saba mtu kaomba id ww unatoa bastola? kulukua na uhitaji gani wa kufanya ivo? why ajinyeshe kwny media kiadi icho?
umeniacha hoii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe hili tu la leo limekushangaza hivi, umewahi kujiuliza mama jesca ameshangaa mangapi toka amjue juma?? Tuliza kisheti jombaa
Kwikiii nilijua utani hv dogo alifuata nini nimecheka balaa.Hamorapa ...huyu jamaa ni balaaa kwa kuchangamkia fursa
Chezea pisto yaani natambaa kwa machozi uwiii hamorapa.[emoji23][emoji23]Ulaku wa kupata KIKI umemwishia[emoji379]
Kabisa,Bila kuwepo waandishi wa habari leo kuna mtu ilikuwa auwawe.