Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Bibie nakuona umetulia zako tu unakula penshen za wagalatia hapo Calgary/ Edmonton Alberta Canada. Ingependeza sana ungestaafu huko Tehran, Riyadh, Abu Dhabi ama Dubei ukala penshen HALAL hazina riba.
Dunia ni popote, mipaka mmewekewa wajinga. Ungeelewa huku mi atheist ndioo imeshamiri kibao usingeongea utumbo.
 
Ulikuwa ujinga mkubwa sanaa wa wazi kabisa bora lilikufa lile lijamaa
 
Acha uchonganishi Mh. Nape ni Kamanda mtoto wa Brigadier General .Hayo mawazo ya maji taka ameisha samehe
 
Pole sana Nape, yule mtesi wako mmoja anaoza chato ila yule mwingine yuko mtaani anadundika.
 
Nani alianzisha huu mchezo wa kutoa bastola hadharani na kutishia watu?
 
Back
Top Bottom