Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Sa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Sasa badala ujadili yanayohusu wizara yako kila siku unaongea mambo ambayo hayakuhusu bichwa kubwa akili kisoda
 
Ushoga sio poa lakini HAKI za Mashoga kuishi kama Binadamu wenzetu ni sahihi.

Huwezi ukamfunga Shoga au kumuua Shoga kwa yeye kuwa Shoga.

dah mkuu unatutia shaka sasa. Hao jamaa hawafai kwenye Jamii. Tatizo kuu ni kuwa wanalazimisha uchafu wao kuonekanwa ni kitu cha kawaida, Jamii iwakubali, jamii iwaheshimu, huko tunakokwenda mbele usishangae mpaka kampeni za kupewa viti maalamu bungeni zikaanza. Ni ku deal nao mapema tu.
 

dah mzee nawewe kumbe muunga juhudi za Upinde !
 
Wewe mwenzako akifirwa wewe unawashwa na nini?

Kufirana isifanywe jinai wezi na wapigaji wa fedha za kodi ndio wanatakiwa wawe magerezani sio Mashoga.

tatizo sio kugongana kwao, Tatizo ni kuilazimisha jamii ikubali michezo yao michafu. Naona kama hizi kampeni za Upinde bado hujazielewa mkuu.
 
sijategemea kabisa kama mkuu utakua ni team Upinde dah Inasikitisha sana.
Shoga isiwe jinai serikali iwatibu kwa kuwapa dawa ya kupunguza hamu ya kufirwa.

Kuna shoga katibiwa Tanga na hamu imeisha na ameoa na ana mtoto.
 
Wapo wanadamu raia wa nchi ambao hawamuamini Mungu au mungu wao ni tofauti na mungu wako.
Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi ni mmoja.

Mungu aliyemuweka Adamu katika Bustani ya edeni ni mmoja.

Mapepo nusu mtu nusu WANADAMU Walio nyuma ya vitendo vya USHOGA wanatokea kuzimu, wanaowaingia WANADAMU na kufanya UOVU huo. Bt jua kuwa hata kuzimu aliiumba Mungu.

Huyo shetani mnayemwabudu anayejiita mungu pia ni toto Tundu, Mungu yupo na ni mmoja.

PUMZI unayovuta ni ya huyo Mungu mmoja na wa Kweli.

Na Jina lake Anaitwa YESU KRISTO.

Hivyo huna HOJA.
 
Trilioni 30 hazionekani kwa mujibu wa Luhanga Mpina hizo kodi na tozo za Watanzania wote wakiwemo Mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…