uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Kwa mawaziri watanzania tunaowajua,jambo hili linategemea msimamo wa rais wetu atakachoamua.Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
Nakuombea maisha Ili uje utubu siku moja,Wewe mwenzako akifirwa wewe unawashwa na nini?
Kufirana isifanywe jinai wezi na wapigaji wa fedha za kodi ndio wanatakiwa wawe magerezani sio Mashoga.
Kipi bhana kukurupuka tu na kutaja magenge kwenye mada isiohusiana na genge lolote ushamba unakusumbua dogo janjaBasi hujui kuhusu nilichosema, kaa kimya
Ni vitu ambavyo havinitishi kabisa, kama wewe unaamini kila mtu akiona hizo rangi za upinde anaweza akawa shoga basi mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao basi hata wewe unaenda kufirwa muda si mrefu.dah mzee nawewe kumbe muunga juhudi za Upinde !
Pitia commets kwenye huu uzi utaona wangapi waliomtukana Nape bila sababu ndio utajua wewe ndio umekurupukaKipi bhana kukurupuka tu na kutaja magenge kwenye mada isiohusiana na genge lolote ushamba unakusumbua dogo janja
Kumbe unafuata mkimbo ww ni hopelessPitia commets kwenye huu uzi utaona wangapi waliomtukana Nape bila sababu ndio utajua wewe ndio umekurupuka
Una ushahidi au umesikia tu. Hakuna shirika linalofundisha ushoga Tanzania. Mengine ni kutokuelewa tu jinsi wanavyofanya kazi. Mfano. Wengi wanatoa elimu ya uzazi na kujitambuaKuna wakati saa mbovu, husema Kweli.
Hizo NG'O s zifutwe, kutamka USHOGA hauna nafasi wakati Kuna NG'O zimesajiliwa kueneza USHOGA na usagaji tena Kwa watoto mashuleni,
Hatua Kali zaidi zinahitajika.
Sawa tunashukuru kwa tamko hili,ila tungependa litoke kwa Rais,it would send a much stronger message.Kwa nini Rais Yuko kimya?Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
Sawa tunashukuru kwa tamko hili,ila tungependa litoke kwa Rais,it would send a much stronger message.
Hata hivyo kama hii ni kweli,tunataka sheria yetu itumike kuwa indict mabasha,mashoga na lesbians wote.As it now stands,ni kama hatuna sheria yeyote kwa ajili ya jambo hilo.The LBGTQ community wanafanya wanavyotaka,ni kama hakuna sheria vile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanasiasa ukiona rating zako zinashuka ibuka na hoja ya ushoga.
Wajinga ni wengi katika nchi.Una ushahidi au umesikia tu. Hakuna shirika linalofundisha ushoga Tanzania. Mengine ni kutokuelewa tu jinsi wanavyofanya kazi. Mfano. Wengi wanatoa elimu ya uzazi na kujitambua
Ewe mwana wa JOKA lenye mabawa.
Utajadiliwa tu mpaka uache au ufe!
Ushoga na usagaji are not petty issues man! They are meant to destroy our society and the future of our beloved nation. Vilaaniwe na vipingwe kwa nguvu zote kutoka katika kila kona ya taifa letu na ulimwengu mzima.
Mbuyu ulianza kama mchicha. Wanaopiga kelele si wajinga wote. Kunajambo wameliona. Kama kwenu hawapo mshukuru Mungu na uombe sana balaa hilo lisiwakute.
Hiyo ya ushoga siyo petty issue, labda wewe una petty brain ndiyo maana umeshindwa kuelewa
Weweunajadili report ya CAG ili upate nini? Ni maazimio gani utakayoyafikia hapa kwa kukuijadili hiyo ripoti? Waache wabunge ambao tumewachagua watuwakilishe waifanye kazi hiyo kwa vile tunawalipa mishahara kwa hayo majukumuKujadili watu wawili watatu wakati kuna ripoti ya CAG na mambo mengine ya msingi yanayogusa kila mtu ni matumizi mabaya ya rasilimali akili.
Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level sio kwa matamko ya serikali. Msipolea watoto wenu vyema. watapopolewa.