Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

serikali au CCM tunajua serikali ya sasa iko answerable kwa CCM na ndio maana Makonda anaamrisha mawaziri na wanatema jasho vibaya mno
Wacha wapigishwe kwata huko ccm kuna mambulula wengi sana nilikuwa namsikiliza komred kinana jana kwa kwa kweli nilisikitika sana kwa hoja zake
 
Hivi Chadema hawana redio yao ya kufanya upotoshaji hadi leo wanna matatizo makubwa sana
 
Hapa kuna jambo sio bure🙄,waliosoma NIRVANA wanaelewa.
Kuna mtu anatafutwa akae kwenye mstari hapo na kashaanza kujaa,ngoja tuone mwisho wake hili jambo.
 
Back
Top Bottom