Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

Huja weka namba ya simu tuta kupataje sasa wakati wa teuzi?
 
Eleza walikwama wapi ili tuwasaidie Bure.

Halotel ni ya makamamba na JK,
 
Kuna vilaza wengi wana mamlaka makubwa nchi hii ndio maana hakuna chenye ufanisi. Binafsi sikubaliani na ujinga za namna hii
 
Kama kuna kenge na mwizi, mkubwa serikalini,ni, huyu, kampuni mfanyabiashara mkubwa kama Eron musk, mwenye ukwasi Mara tano ya, bajeti yenu, badala ya kumbebeleza, unamuwekea masharti magumu, mbona Kenya, Rwanda, ameweka stsrlink,Bongo kuna cha upekee gani? Hapa ma kampuni ya simu yametoa bongo ili wasipate ushindani, waendelee kuwa na monopoly ya mtandao, kenge kabisa
 
Masharti ya leseni.
Ndiyo maana kila siku unaambiwa kuwa una upeo mdogo. Unaleta habari kama messenger, bila ya kutafakari wala kujiuliza maswali muhimu.

Kukataliwa, siyo lazima uambiwe kuwa hatutaki uwekeze nchini. Unaweza kukataliwa kwa kuwekewa masharti au mazingira magumu, ambayo inafahamika kuwa utashindwa kwa sababu labda hayatekelezeki kibiashara, kama walivyofanyiwa Fastjet, lengo ushindwe, uondoke, usitoe ushindani.

Mwenye akili angemhoji Nape, ayaweke wazi hayo masharti waliyopewa hao Starlink ili yatazamwe kama yapo kisheria au yalikuwa ya kwake yeye Nape, na maalum tu kwa Starlink. Na je ni masharti halali kisheria na kibiashara? Kisha conclusion ndiyo ingejulikana kama walishindwa kukidhi matakwa ya kisheria, wakaamua kuondoka, au kuna watu waliweka vikwazo ili kumfukuza mwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…