Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

Serikali waliweka masharti magumu ya kipuuzi yasiyotekelezeka ndio maana Starlink wakaamua kwenda Rwanda na kukubaliwa kufanya shughuli zao huko.

Hii serikali ya kipumbavu inayoongozwa na kibaraka wa waarabu ndiyo iliyotufikisha hapa. Sijawahi kuona serikali ya kihanithi kama hii.
 
 
Kama kuna mtu humu yuko X tafadhali naomba umuulize elon sababu ya kushindwa Tanzania halafu ulete majibu hapa ya elon tujue hawa makijani wahuni sana
 
Fvck off ! bytch
 
Kama kuna mtu humu yuko X tafadhali naomba umuulize elon sababu ya kushindwa Tanzania halafu ulete majibu hapa ya elon tujue hawa makijani wahuni sana
Kwani wewe hupo Twitter ili umuulize au lugha tatizo namna ya kumuuliza😃😃
 
Weka hapa jukwaani hayo masharti magumu unayoyasema kuwa serikali iliweka.
 
Nape amesema Wameshindwa masharti Kwa mujibu wa vigezo vya TRA.

Walioshindwa ndio waseme sio kazi ya Maofisa wa Serikali kuwasemea.Huo ujinga wa kusema madalali mfanye nyie Chadema

Kila kitu kwako ni CHADEMA. Usiwe unachangia kwenye michango yangu. Mimi nahitaji watu wenye sober mind, wanaoweza kukubali au kupinga mawazo ya mwingine, lakini kwa hoja, siyo waliochanganyikiwa na wasiojielewa au wasio na uelewa wa mambo mengi, kama wewe.
 
Kama walimwekea masharti ya ajabuajabu kwanini asiache, viongozi matapeli baasi Kila kitu kinakua kitapelitapeli.
 
Ilaaaa,kwani hao starlink nao kamwe hawawezi kupata matatizo ya kiufundi?

Kitu chochote, hata iwe ni tekinolojia nzuri kiasi gani, kuna wakati inaweza kukumbwa na tatizo.

Hapa tunaongelea alternatives. Ni sawa uwe na gari moja. Lazima kuna siku utakosa usafiri. Ukiwa nazo angalao 2, moja itakapoenda garage, utaitumia nyingine, na mipango yako haitakwama kwa 100%.
 
Tanzania ni binadamu sawa na nchi nyingine? Au sisi ni Taifa so exseptional kiasi kwamba internate tuu masharti kibao. Mbona Starlink wapo sehemu nyingi tuu. Tena zilizoendele na zinazotupa misaada
 
Asipo kuelewa itakuwa ana hitilafu kwenye ubongo
 
Kwamba Kuna watu wanaamini anachoongea Nape na Serekali?
 
Lucas Mwashambwa hizi nchi zingine za jirani zetu, rwanda,uganda,kenya,malawi,zimabwe wao masharti yao yakoje mpaka wakawakubalia?
Masharti yapi hapa nyumbani ambayo starlink ilishindea kuyatekeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…