Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Washamba tu ndio wanaweza kufanya kama Nape. Mimi siwezi kumwomba msamaha mtu kama magufuli.
 
Binafsi nilichokiona kwenye video Magu’s psyche kwa sasa ni ya dictator tena sio ya watu kama kina Putin, Xin Jing Ping au hata Museveni; maana hawa kidogo wana aibu kwenye camera.

Magu keshalewa pombe anayokunywa Kagame amekuwa arrogant anajua ni mwenye nguvu na aogopi kuzitumia kwa mtu atakae ingia anga zake au kuwatisha watakao jaribu.

That is scary going forward, inawezekana kuna watu kwa sasa wana bite their tongues kwa kuheshimu mihula miwili ya uraisi things which I agree.

Hila muhula wa pili akiachiwa aende kama awamu ya kwanza this man is a run away train.
 

Mmmmh let us just wait and see...kuna watu huwa hawabadiliki
 
Ila wapinzani hawakumtoa madarakani,Kagame&his allies ndio walimng’oa mobutu.
Point ni kuwa mwisho wake haukuwa mzuri, who gives a damn nani alimtoa madarakani?
Hapo ni kuonyesha kuwa inafika time mbabe ubabe wake unamtokea puani.
 
Sasa Nape anatakiwa kuwa makini. Kuna watu tulimshauri vizuri tu, lakini hakutusikiliza. Badala yake, akavimbishwa kichwa na wanafiki waliojaa mitandaoni. Sasa ameuona ukweli. Abaki focused kama anahitaji bright future.
 
Good analysis, the idiot psychopath is unstoppable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…