Ana safar ndefu kama kijana, ana malengo mengi mbele
Nje ya ccm, kuna watu c lolote wala s chchteLigi ya Mtaani kachemka kaomba pow mwenyewe
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya ccm, kuna watu c lolote wala s chchteLigi ya Mtaani kachemka kaomba pow mwenyewe
Ova
Na hapa ndo upinzan watu huwa wanafeli, kutafakar uccm kwa mwanaccm2020 Imekaribia?
Akili fupi yakeHUYU NAPE KUNA KIPI CHA ZIADA ANATAFUTA? KAMA NI MAISHA ASHAYAPATIA
Kuna mtu anateseka? Nape kasharudi kwao. Kuna kingine?
Hatimaye Magufuli anaibuka mshindi
Mkuu hawa hawana tofauti na kundi la fisi. Wanashambulia kula nyama, wakimaliza ambaye bado ana damu mdomoni naye anashambuliwaKundi la shetani Luciferi
exactly!Mkuu hawa hawana tofauti na kundi la fisi. Wanashambulia kula nyama, wakimaliza ambaye bado ana damu mdomoni naye anashambuliwa
Hivi we mwanamke for how long shall I continue crying for you? I love you and you know that!Maamaee,.hao wote vioo-ngozi hamna kitu..
.......kumbe hajitambui.Hao ni manyumbu yalikua yanasema nape anajitambua
*Nape Amerudi Kwenye* *Reli Sasa* .
Nijambo amabalo wana CCM wengi hawajalifurahia kuona *Nape Moses Nauye* Mbegu iliyo Kufa na kuoza sasa imeanza kuchipua.
Kifo chake kilisababishwa na kusema ukweli palipohitajika kusema ukweli wakati sio utamaduni wa chama cha *CCM* kusema ukweli kwa wanachama wa kawaida kazi yao ni kuisifu serikali na kukisifia chama tu.
Nape ameomba kwa kuikosoa serikali iliposhindwa kununua korosho. *Nape* kaomba msamaha kwa kushinikiza uchunguzi wa Makonda kuvamia kituo redio cha *Clouds* .
*Nape* kaomba msamaha kwa sauti iliyotengenezwa na *Makonda* kuwa naongea na Membe anamuita Mheshimiwa Rais Mshamba.
*Nape* anameomba msamaha kwakuwa alipotolewa bastola na MTU asiejulikana alisema hadharani kwamba aliipigania CCM ili ishinde mwaka 2015 .
Nape kaomba msamaha kwakuwa huonekana yupo karibu na Zito Kabwe na *Membe* hasa kwenye Picha.
Hivyo ndivo vilivyo muuwa Nape.
Mbegu inachupua sasa
Msamaha wa kinafiki wa *Nape* ni kuionyesha dunia kuwa ukisema ukweli *CCM* nikosa sasa ameomba msamaha kwa kuusimamia ukweli.Yeye na Rais wamemaliza kwakuwa Rais *Magufuli* sio MTU wa visasi na anafahamu kabisa *Nape* hajafanya kosa lolote na hajawahi kumkosea na kisiasa hawezi kupambana na hawa vijana ambao wao kesho yao inaweza kuwa nikubwa kuliko yake ya Leo ya kisiasa,ieleweke kuwa Rais amebakiza Miaka Sita yakuongoza kama atashinda 2020 *Nape* au *Makamba* , *Mwigulu* vijana hawa bado wao wana miaka 10 yakuja kuongoza nchi wakijaaliwa kupata Urais.
*Msamaha wa Nape* umemrudishia heshima yake ndani ya CCM ambayo wengi walitamani apotee wakiamini kupotea kwa Nape na Kina *Kinana* ndo kuipoteza CCM ya Zamani.
Wana *CCM* Siku zote huwa wanaombeana Mabaya wakiamini wenye vyeo hawastahili Siku wakitumbuliwa waio na vyeo na wao watapata nafasi na wenye vyeo wanawatumia wasio na *vyeo kama jukwaa la wao kuimbiwa nyimbo za sifa kusifiwa hata wanapo boronga.*
*Namuona *Nape* kesho* Akiwa kiongozi mkubwa mwenye ushawishi ndani ya chama na serikali maana anajua kusifia zaidi kuliko kukosoa sasa baada ya msamaha ni kusifia kwa kwenda mbele nani atamzuia tena. Mbegu itamea 2025 *Nape* hata kuwa Mbegu tena Atakua ni Mti kamili wenye Matunda.
*Hongera Nape umefanya* *maamuzi sahihi* kwa umri ulio nao haijalishi utaanguka Mara ngapi nilazima uamke maana nguvu na sababu unazo.
*Na
MwanafalsafaMweusi* .
Point ni kuwa mwisho wake haukuwa mzuri, who gives a damn nani alimtoa madarakani?Ila wapinzani hawakumtoa madarakani,Kagame&his allies ndio walimng’oa mobutu.
Pamoja na kuomba msamaha kwa video hiyo naona ni Humiliation kwa NapeNimeona Nape anatembea umbali mrefu sana ndani ya maeneo ya Ikulu.
Alishushiwa nje ya geti kuu la kuingia ikulu ?
Niliona mpaka anajifuta jasho kwa kutembea umbali mrefu.
Nimeona kama ametembea umbali mrefu sana.
Haaminiki ?View attachment 1203928
Good analysis, the idiot psychopath is unstoppable.Binafsi nilichokiona kwenye video Magu’s psyche kwa sasa ni ya dictator tena sio ya watu kama kina Putin, Xin Jing Ping au hata Museveni; maana hawa kidogo wana aibu kwenye camera.
Magu keshalewa pombe anayokunywa Kagame amekuwa arrogant anajua ni mwenye nguvu na aogopi kuzitumia kwa mtu atakae ingia anga zake au kuwatisha watakao jaribu.
That is scary going forward, inawezekana kuna watu kwa sasa wana bite their tongues kwa kuheshimu mihula miwili ya uraisi things which I agree.
Hila muhula wa pili akiachiwa aende kama awamu ya kwanza this man is a run away train.