Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Kuiba kuna watu maalumu si kila MTU.Angekuwa awahitaji asingewasamehe.Uchaguzi upo karibuni soon pesa zitaanza kuonekana mtaani msahau shida zetu.Usicheze na mwanasiasa.
Wameenda kuomba msamaha wenyewe ,kwa nini asiwasamehe?
 
Kitendo cha Nape kuomba msamaha hakuna mslahi kwa taifa zaidi ya chama chake Na yeye binafsi.wanasiasa muda mwingi wanaongozwa Na maslahi binafsi...
 
Ukweli ni kwamba walikuwa hawafukiziki maana walitumia mbinu za kurekodi bila kufuata sheria ingekuwa wamefuata sheria au kama wangesema hadharani wangeshafukuzwa. Magu sio mvumilivu hivyo alikuwa hana namna.
 
Kuna kuomba msamaha na kuna kusamehe...
kitendo tu cha kuomba msamaha mbele ya TV ni kuzidi kudhalilishwa

mioyo ingekuwa ina vioo tungeona mengi ya ajabu...

mtu akikushikia bunduki lazima umuombe msamaha na wala sio lazima umaanishe
 
Watu gani we Ndio mnanganyana hivyo?

Ati watu maalumu!!!

Ccm ni nafasi sio mtu
Kuiba kuna watu maalumu si kila MTU.Angekuwa awahitaji asingewasamehe.Uchaguzi upo karibuni soon pesa zitaanza kuonekana mtaani msahau shida zetu.Usicheze na mwanasiasa.
 
Wamefuta zile Picha ambazo anatoka ikulu analia zilikuwa zinamdalilisha na zimepigwa toka juuu, Simjui aliepiga Lakini wstakuwa hao hao walioseti program nzima, jamani Leo nape amefanywa futuhi? Daaah nimemuonea huruma
 
Hapa ni kusema kwamba UDUKUZI UMESHINDA!!!
Hongera sana V.....o kwa udukuzi mlofanya mpaka mapatano na msamaha umepatikana!!
Kama namuona nape akitishiwa bastora huku hamorapa akitoka mbio.
 
Wote wamejifunza jambo moja au zaidi katika yote yaliyotokea. Kiongozi wao anajua kuwa anavyofanya hayaungwi mkono so kupendwa na wote, atajirekebisha au kuwa mwangalifu zaidi you ya maamuzi yake. Wakosoaji nao wanazidi kujua mtu wanayemkosoa, kuwa wanachunguza kupita kiasi.
Kuhusu picha za waomba upatanisho, tena zikawekwa mitandaoni, ni siasa za kujiwekea au kuonesha uhalali kuwa ama wageni wako sasa wako chini yako (mnakubaliana) na ni mtaji kisiasa zaidi, kuliko kusimamia jukwaani na kusema tu mmeshaelewana, ushahidi wa picha ni kithibitisho (na pia kudhalilishana).
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
















Pia soma;
siasa hazina adui wala rafiki wakudumu
 
Back
Top Bottom