Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama magu anamhitaji nape, magu ndie angemiomba msamaha nape , acha urongo, msg saa nane usiku ? Halafu uje utuongopee hapa.
Wameenda kuomba msamaha wenyewe ,kwa nini asiwasamehe?Kuiba kuna watu maalumu si kila MTU.Angekuwa awahitaji asingewasamehe.Uchaguzi upo karibuni soon pesa zitaanza kuonekana mtaani msahau shida zetu.Usicheze na mwanasiasa.
Lisu aombe msamaha kwa kupona au😂Bado Lisu.
Wameenda kuomba msamaha wenyewe ,kwa nini asiwasamehe?
Kuiba kuna watu maalumu si kila MTU.Angekuwa awahitaji asingewasamehe.Uchaguzi upo karibuni soon pesa zitaanza kuonekana mtaani msahau shida zetu.Usicheze na mwanasiasa.
Angemshitaki kabisa na yule jamaa aliyemtolea bastola, maana walisema Wahenga "opportunity never come twice"
siasa hazina adui wala rafiki wakudumuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
Pia soma;
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM
Ni kuhusu barua iliyotolewa na Makamba na Kinana kuhusu kuchafuliwa na Musiba. Ni Maelekezo ya Kinana Kumtaka Nape aisambaza barua kwenye vyombo vya habari. Kinana: Mwambie bwana hawa jamaa wanatoa statement leo, Unafikiri tumpe nakala? [Nape: Hapana] Mwambie wanaiandaa Mzee wataitoa leo...www.jamiiforums.com
sio juliana?Hizi habari ni za kweli?
Ngoja nimuulize Mheshimiwa waziri Suzan Shonza labda atakuwa anajua