Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Tengeneza tatizo, tatua tatizo then pata ujiko...
Na hii ina apply kwa Afrika hasa hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengeneza tatizo, tatua tatizo then pata ujiko...
Na mpaka dakika ya mwisho Mobutu alilinda majibu ya Habyerimana mpaka sielewi ni kwa nini.
Zitto mwenyewe anapenda amiliki House boy , wangewezaje kukaa pamoja? Au hauoni chama chake.yeye ndiye wengine ni house boys
Yaani Nape kuajiriwa tena...au unatia tu??Hapana chezea. Bila siasa Nape hawezi kuishi. Maana ni kilaza. Hakuna sehemu anaweza ajiriwa.
Hilo ni jukumu la wanachama wa cdm, wao ndio wanawajibu wa kumchagua kiongozi wao, mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa bali shabiki wa cdm, hivyo sina nafasi ya kumchagua kiongozi yoyote ndani ya cdm. Mimi binafsi sijawahi na wala sintowahi kuunga mkono kiongozi yoyote wa nafasi ya kuchaguliwa, kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Nasisitiza kiongozi yoyote wa kuchaguliwa, kukaa nafasi moja zaidi ya miaka kumi ni uhuni wa wazi.ila ana nguvu ya kuwa wa kudumu?
UnataniaYaani Nape kuajiriwa tena...au unatia tu??
Na mpaka dakika ya mwisho Mobutu alilinda majibu ya Habyerimana mpaka sielewi ni kwa nini.
Ametambua psychology ya ku-deal na dictator. Dictators want glorification! Kwa mazingira ya tanzania na njaa za CCM , unafiki wa CCM, mauaji ya CCM, utekeji wa CCM, sandarusi za CCM, kama huna roho ngumu lazima uta fall down as Nape , Makamba and Ngeleja. Bado makamba baba ba Kinana, sijui Membe!Kama hajamkosea ni nini kilichompeleka Ikulu wakati wenzie wako bungeni!
Asante sanaWali share common hatred towards watusi na rpa kwa ujumla.
Ni nani asie jua Ukuu wa Mamlaka na Nguvu alizo nazo Mh Rais ?..
Palikuwa na haja gani ya kufanya hivyo kwa Mtu mdogo kama Nape ?
Huu ndio alio uita Ushamba wakati mmemdukua .
Camera mkuu tungeshindwa kufanya zile... Action... KaaaatNimeona Nape anatembea umbali mrefu sana ndani ya maeneo ya Ikulu.
Alishushiwa nje ya geti kuu la kuingia ikulu ?
Niliona mpaka anajifuta jasho kwa kutembea umbali mrefu.
Nimeona kama ametembea umbali mrefu sana.
Haaminiki ?View attachment 1203928
Nape mtaani hakuwezi! Jamani sie tunaokula bata zetu bila kutegemea siasa tujipongeze sana aisee!
Big up mabaharia wote popote mlipo.
Ni tamthilia fulani, umeshindwa kujiongeza mpaka unahisi kuna ukweli wowote katika episodes zinazoendelea? Yote ni katika kumpamba MTU flani aonekane ana huruma,msikivu, anasemehe na ni mtu wa imani, kujaribu kuficha true colours za MTU kwa cheap dramas za wasanii wa kisiasa si wote watakaokuwa deceived.Nimeona Nape anatembea umbali mrefu sana ndani ya maeneo ya Ikulu.
Alishushiwa nje ya geti kuu la kuingia ikulu ?
Niliona mpaka anajifuta jasho kwa kutembea umbali mrefu.
Nimeona kama ametembea umbali mrefu sana.
Haaminiki ?View attachment 1203928
Anajichekesha tuuuuuuuAnatembea kama kachanganyikiwa
Wanahisi kuna watu walikua wanamchukulia Nape ni mtu flani hivi heavyweight so wakaamua kuionyesha jamii kwamba huyu mnaye muaminia ni fala tu mbele yetu(ni mtizamo wangu tu huu).
So na mimi nilishiriki kumdukua sio?
Basi jiandae soon watakudukua ukiwa unakunya.