Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Na mpaka dakika ya mwisho Mobutu alilinda majibu ya Habyerimana mpaka sielewi ni kwa nini.

Na tatizo la Madikteta kama Mobutu ni Uonga unaopelekea kutumia Nguvu nyingi Akili kidogo ,kila alie mbele yake anamhisi ni Adui.
 
Zitto mwenyewe anapenda amiliki House boy , wangewezaje kukaa pamoja? Au hauoni chama chake.yeye ndiye wengine ni house boys

Nhoja nikuache maana naona umeshaanza kujikana mwenyewe...tukiendelea mwishowe utafuta thread na Lumumba wenzako watakosa pa kucomment...siku njema boss.
 
Vijana wanaanza kulejea kundini wenyewe uchaguzi una karibia wanaandaa mazingira.
 
ila ana nguvu ya kuwa wa kudumu?
Hilo ni jukumu la wanachama wa cdm, wao ndio wanawajibu wa kumchagua kiongozi wao, mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa bali shabiki wa cdm, hivyo sina nafasi ya kumchagua kiongozi yoyote ndani ya cdm. Mimi binafsi sijawahi na wala sintowahi kuunga mkono kiongozi yoyote wa nafasi ya kuchaguliwa, kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Nasisitiza kiongozi yoyote wa kuchaguliwa, kukaa nafasi moja zaidi ya miaka kumi ni uhuni wa wazi.
 
Kama hajamkosea ni nini kilichompeleka Ikulu wakati wenzie wako bungeni!
Ametambua psychology ya ku-deal na dictator. Dictators want glorification! Kwa mazingira ya tanzania na njaa za CCM , unafiki wa CCM, mauaji ya CCM, utekeji wa CCM, sandarusi za CCM, kama huna roho ngumu lazima uta fall down as Nape , Makamba and Ngeleja. Bado makamba baba ba Kinana, sijui Membe!


HOW DICTATORS COME TO POWER AND ATTAIN GLORIFICATION BY PEOPLE


THE DICTATORS


They Emerge in a Social and Economic Context


THERE ARE NO DICTATORS WITHOUT FOLLOWERS

They Are Charismatic

They Write Manifestos

They Teach

They Appear Sympathetic Toward Their Own Kind

They Inspire Fear

THE FOLLOWERS

They Are Not Us

They Are Distracted and Busy

They Are Vulnerable

They Want A Hero They Can Believe In

They Are Fearful of Others and Prone to Hate

johnthebaptist Salary Slip
 
Ni nani asie jua Ukuu wa Mamlaka na Nguvu alizo nazo Mh Rais ?..

Palikuwa na haja gani ya kufanya hivyo kwa Mtu mdogo kama Nape ?

Huu ndio alio uita Ushamba wakati mmemdukua .

Wanahisi kuna watu walikua wanamchukulia Nape ni mtu flani hivi heavyweight so wakaamua kuionyesha jamii kwamba huyu mnaye muaminia ni fala tu mbele yetu(ni mtizamo wangu tu huu).

So na mimi nilishiriki kumdukua sio?

Basi jiandae soon watakudukua ukiwa unakunya.
 
Kikubwa amesamehewa, kama kuna mengine nje ya hapo wanajua wao, wakati mwingine siyo kila makofi yanayopigwa kwa ajili yako yana maana ya kwamba umefanya yaliyo mema mengine ni kejeli iliyojaa kashifa
 
Nape mtaani hakuwezi! Jamani sie tunaokula bata zetu bila kutegemea siasa tujipongeze sana aisee!
Big up mabaharia wote popote mlipo.

Hahahah big up,Nape kile kitambi akitoswa na CCM kitaisha fasta na mpk mkewe atamkimbia ndani ya wiki 2.
 
Nimeona Nape anatembea umbali mrefu sana ndani ya maeneo ya Ikulu.

Alishushiwa nje ya geti kuu la kuingia ikulu ?

Niliona mpaka anajifuta jasho kwa kutembea umbali mrefu.

Nimeona kama ametembea umbali mrefu sana.

Haaminiki ?View attachment 1203928
Ni tamthilia fulani, umeshindwa kujiongeza mpaka unahisi kuna ukweli wowote katika episodes zinazoendelea? Yote ni katika kumpamba MTU flani aonekane ana huruma,msikivu, anasemehe na ni mtu wa imani, kujaribu kuficha true colours za MTU kwa cheap dramas za wasanii wa kisiasa si wote watakaokuwa deceived.
 
Wanahisi kuna watu walikua wanamchukulia Nape ni mtu flani hivi heavyweight so wakaamua kuionyesha jamii kwamba huyu mnaye muaminia ni fala tu mbele yetu(ni mtizamo wangu tu huu).

So na mimi nilishiriki kumdukua sio?

Basi jiandae soon watakudukua ukiwa unakunya.

Wanidukue tu hamna tatizo ,si ndio Ukomo wao wa kufikiri ulipo fikia.😎
 
Back
Top Bottom