Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Pac the Don

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
6,170
Reaction score
7,710
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;


"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"

 
Kumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...

😇
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...


😜
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
 
Ila CCM hawajua kinachoendelea mtaani sio? Wafanye tafiti kuna chuki sana inajengeka...watakuja washangae akitokea mwanasiasa ana nguvu...watashangaa sana watu kama kina Nnape. Just someone to ignite
Yetu macho
 
Kwa nini Nape anasema kina wenyewe

Hii kauli ni mzito sana.
Mbowe atolewe tuanza kampeni mapema
Umeme na maji ni shida kuna wenyewe watu wanaofanya figusi kuwa nyanyasa wananchi

Rais Awamu ya 6 kuongoza Nchi hii itampa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…