Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Anakaribia kupewa kitengo! Kile kikao cha juzi cha kumsifia brigedia Nauye kilikuwa kikao cha kumpaka rangi kijana wake wa bao la Mkono na kuwaandaa kisaikolojia tu😅Nafuu polepole..Nape Ni wa hovyo Sana..Jikumbusheni nape wa bao la mkono..
Mzee wa Mapapai yuko njema sana 😆katika michakato ya connection!